Uchaguzi 2020 Mvua iliwanufaisha Profesa Kitila na Dkt. Magufuli

Haya mambo ukisimuliwa unaweza ona NI uongo ila leo nimejionea hatujaenda kazini badala yake tumeambiwa tukampokee samia,kufika eneo la tukio na fuso mbili zimekuja zimejaza watu
Kwahiyo mnalazimishwa kupanda hizo fuso ni hiari kupanda na kwenda huko kwenye mkutano?
 
Ndio hatutaki kutest hiyo theory kwamba usipoenda kinatokea nini kwahiyo tukiambiwa twende tunaenda,tunachukulia kama public holiday tu, kwa nini tugombane na serikali vitu vidogo
Huo ulazima unashikiliwa na nini yani kwamba ukigoma kwenda nini kinatokea?
 
Mngekuwa na tume huru mngejua kilichomtoa kanga manyoya.
 
Ushuzi tupu
 
Kughairisha ni kisomari cha wapi?? U guys are killing mama Kiswahili
 
Ndio hatutaki kutest hiyo theory kwamba usipoenda kinatokea nini kwahiyo tukiambiwa twende tunaenda,tunachukulia kama public holiday tu, kwa nini tugombane na serikali vitu vidogo
Basi hapo sijaona mazingira ya kulazimishwa mnaenda kwa mapenzi yenu tu,maana kulazimishwa kuko kwa aina mbili kwa maana wangetumia nguvu kuwabeba na kuwapeleka huko au kuwapiga mkwara kama hutaki kwenda. Sasa nyie hamjapigwa mkwara wala kubebwa kwa kulazimishwa na wakati serikali inajua kati yenu mnaitikadi tofauti tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…