Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Mnachosha tu na huyo marehemu wenu, kama mpo serious muhamie huko kaburini kwake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wa kumfikia mtu kati apenyee wapi?huyu mmoja alimuua mwngne na pole pole anajionesha
Hahahaaaa au wamuliize Zamaridi huko mbinguni alimuona??Mnachosha tu na huyo marehemu wenu, kama mpo serious muhamie huko kaburini kwake
Acha ushamba mkulungwa. Mama yetu anaupiga mwingi. Dkt Magufuli hayupo, hakuna anayeuwa Legacy, hayo ni maneno na kauli za wakosajiMUNGU ni fundi, MUNGU haziakiwi, mmeshindwa kuazimisha Miaka miwili ya kifo cha Mwamba publically .
Mmekuja na sherehe ya kupongezana sijui Kwa KAZI Ipi. Mlidhani media zingefanya coverage kufifisha matukio ya tare 17..
Kinyume chake MUNGU kashusha gharika na kuwaweka mlango wazi mtaani umeme Hakuna na Mafuriko Kila Kona.
Media zimegeuza camera SASA hiyo kitchen party yenu haina maana tena mola Katia mchanga.
MUNGU ni fundi, MUNGU haziakiwi, mmeshindwa kuazimisha Miaka miwili ya kifo cha Mwamba publically .
Mmekuja na sherehe ya kupongezana sijui Kwa KAZI Ipi. Mlidhani media zingefanya coverage kufifisha matukio ya tare 17..
Kinyume chake MUNGU kashusha gharika na kuwaweka mlango wazi mtaani umeme Hakuna na Mafuriko Kila Kona.
Media zimegeuza camera SASA hiyo kitchen party yenu haina maana tena mola Katia mchanga.
Really sijajua huyu mnyarugusu kaandika nini!? Mvua imenyesha dar, Sasa hiyo legacy yake ya chato inahusika vipi na mvua!? By the way legacy hailindwi Kwa upinde, washukuru kanisa limeamua kubeba aibuWatetezi ndio mnaizika hiyo mnayoiita legacy...wote mna akili za kishamba na hamjui kujenga hoja.
Nyie mnaweza kuchunga ng'ombe na kubaka mbuzi tu maporini.
Nipo chato siku zote. Unataka niende chato ipi tenaNenda chato ukaomboleze.
Hii inahusikaje na mambo ya legacy? 🤪🤪🤪🤪MUNGU ni fundi, MUNGU haziakiwi, mmeshindwa kuazimisha Miaka miwili ya kifo cha Mwamba publically .
Mmekuja na sherehe ya kupongezana sijui Kwa KAZI Ipi. Mlidhani media zingefanya coverage kufifisha matukio ya tare 17..
Kinyume chake MUNGU kashusha gharika na kuwaweka mlango wazi mtaani umeme Hakuna na Mafuriko Kila Kona.
Media zimegeuza camera SASA hiyo kitchen party yenu haina maana tena mola Katia mchanga.
Si siku nyingi watu watachanganyikiwa.Mnachosha tu na huyo marehemu wenu, kama mpo serious muhamie huko kaburini kwake
Mvua ni za Yanga sio JPM.MUNGU ni fundi, MUNGU haziakiwi, mmeshindwa kuazimisha Miaka miwili ya kifo cha Mwamba publically .
Mmekuja na sherehe ya kupongezana sijui Kwa KAZI Ipi. Mlidhani media zingefanya coverage kufifisha matukio ya tare 17..
Kinyume chake MUNGU kashusha gharika na kuwaweka mlango wazi mtaani umeme Hakuna na Mafuriko Kila Kona.
Media zimegeuza camera SASA hiyo kitchen party yenu haina maana tena mola Katia mchanga.
Ushawahi kuona wapi birthday ya Kuwa Raisi kama siyo upoponaHii inahusikaje na mambo ya legacy? 🤪🤪🤪🤪
Kumbe mvua sio neema tena ila ni laana ya Mwendazake 🏃🏃🏃🏃
Inasikitisha sana mkuu. Utadhani alipigwa Kura. Kumbe kaingia baada ya mtu kufa.Kupongezana kwa miaka miwili ya utawa sidhani kama ina sura njema hasa ukikumbuka umepata uongozi baada ya kifo Cha mwenzako. Mengine siyo lazima kuyafanya .yanaleta ukakasi kwa jamii nyengine
Kwel kabsaaa yaaan vitu vya ajabuKupongezana kwa miaka miwili ya utawa sidhani kama ina sura njema hasa ukikumbuka umepata uongozi baada ya kifo Cha mwenzako. Mengine siyo lazima kuyafanya .yanaleta ukakasi kwa jamii nyengine
Tatizo hatujasoma ndugu yangu,, we ulishaona jamii gani duniani inalazimisha marehemu aenziwe? 🤷Nashauri Serikali iongeze Vitanda pale Milembe. Matatizo ya akili ni makubwa kwenye jamii, hasa jamii ya WASUKUMA.
Huko Daslam mnadeka sana aiseee..... yani mvua kidogo tu, mshakuja kuanzisha uzi Jf...[emoji12]
Party ya kukopa labd khaaa miaka miwili madeni ya kutosha miaka mitano si tunauzwa na yeye akiwemoMUNGU ni fundi, MUNGU haziakiwi, mmeshindwa kuazimisha Miaka miwili ya kifo cha Mwamba publically .