Mvua imewaumbua wanaochafua legacy ya Hayati Magufuli

Kupongezana kwa miaka miwili ya utawa sidhani kama ina sura njema hasa ukikumbuka umepata uongozi baada ya kifo Cha mwenzako. Mengine siyo lazima kuyafanya .yanaleta ukakasi kwa jamii nyengine
Exactly lakini wajinga na machawa wa mama wala hawawezi kukuelewa.
 
Nashauri Serikali iongeze Vitanda pale Milembe. Matatizo ya akili ni makubwa kwenye jamii, hasa jamii ya WASUKUMA.
Nazani yakupasa wewe utangulie tena ukaingizwe VIP room, maana tatizo lako ni kubwa sana.
 
We nawe muache marehemu apumzike ,ashakufa basi na hana lake tena duniani,na wewe endeleza mema yake kwa kuijali family yako na mazingira yaliyokuzuunguka
 
Rekodi:-
Tarehe 17/3 Joto na jua lilipindukia kiwango, 35.2c
Tarehe 19/3 siku kumbukumbu za mwana mwema akiapishwa mvua zikamwagika mbingu zikacheka, toka enzi na enzi mvua zilijulikana kama ni baraka kuu.
 
Kitchen party, kweli mswahili ni mswahili tu...upyuuzi mtupu. 2yrs unapiga Kitchen party..
 
Sukuma Gang At Work.

Mama anaupiga mwingi

Bahari imetulia - Nape Nnauye Rondo ,Mtama 2022.
 
Huko Daslam mnadeka sana aiseee..... yani mvua kidogo tu, mshakuja kuanzisha uzi Jf...😜
Mkuu
Tuache bana. Wanatengeneza barabara nzuri wakati wa kiangazi bila ya mipango ya kihandisi ya kutiririshi maji ya mvua za rasharsaha.

Ilija masika. Jiji linazama
 
Umeongea ktk maono makali sana. Unajuwa Kuna watu ndani ya ccm wamekuwa na mawazo ya ili kumjuwa nyani mpe jina baya. Hayati Magufuli walianza kule kitaluni kumchafuwa wema wanaishi wabaya wanakufa Mungu pale ndipo alipo chafuwa ndimi zao kutoka pale chama kiligawanyika kimya kimya wajane wakagoma wakasema ina maana sisi waume zetu kufa ni kwa ubaya basi poa nyie mnao ishi wema endeleeni kiufupi hali sio hali ila yupo mtu mmoja yeye kwa ukomgwe wake amejitoa kutetea yanayo endelea nakusifia nakutumga story zakila namna kuonyesha hata yeye alitaka kuuwawa kiukweli wenye hii siri ni wana usalama sema sasa upo uwezekano mkubwa sana hali ikawa sio hali kutokana na huyo mtu kuwa kama ndio anaye yaushi kila jambo ndani ya serikali jambo ambalo ni hatari kwa sababu Alisha staafu. Well ngoja tuone picha itakapo ishia. Ila Magu legacy yake sio rahisi kuizika.
 
WEW
MVUA KUNYESHA NI BARAKA WALA SIO GHARIKA , ALAFU UWACHE CHUKI NA MITAZAMO YA KIZAMANI , MAMBO YOTE YANAYOENDELEA YAKO CHINI YA CHAMA CHETU CHA MAPINDUZI IVO BASI KUNYESHA KWA MVUA NI SAWA NA KUKUBALIKA KWA JAMBO LILILOKUA LIKIFANYIKA ,ASANTENI KWA KUNIELEWA
MVUA KUNYESHA MAANA YAKE NI BARAKA , ALAFU ILIPUNGUZA JOTO LILILOKUWEPO, NA WATU WALIKUA WENGI HADI RAHA KWAIYO BASI WAKRISTO TUNASEMA JAMBO LA KUMPONGEZA DR SAMIA SULUHU HASSAN MUNGU AMELIKUBALI HADI AKATOA NA BARAKA YA MVUA TENA MVUA YA UPENDO , KWA LUGHA NYEPESI MADAM PRESIDENT AMEBARIKIWA NA MWENYEZI MUNGU , NA WOTE TUSEME AMEN
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…