Mvua imewaumbua wanaochafua legacy ya Hayati Magufuli

Nenda shule Kwanza uandishi wako Mbovu sana kama Mtoto wa chekechea
 
Kukosekana umeme na mafuriko ni jambo la nadra Tz? Si ndio maisha ya kila siku, cha ajabu ni kipi?
 
Mkuu
Tuache bana. Wanatengeneza barabara nzuri wakati wa kiangazi bila ya mipango ya kihandisi ya kutiririshi maji ya mvua za rasharsaha.

Ilija masika. Jiji linazama
Hayo maji huku mkoani tunapandikiza mpunga mkuu...
 
Kikwete fundi
 
Mwanza tuna zumaridi.
Mbeya kuna tulia ackson
Dar mna huyo!
kila siku wanaabudiwa.
 
Kupongezana kwa miaka miwili ya utawa sidhani kama ina sura njema hasa ukikumbuka umepata uongozi baada ya kifo Cha mwenzako. Mengine siyo lazima kuyafanya .yanaleta ukakasi kwa jamii nyengine
Kwa Tz hawajali hili..
 
Binafsi sijali nani anafanya nini ninachohofia ni kiasi gani cha Tozo zinapelekwa kwenye haya maigizo as well as kupoteza muda ambao tunawalipa watu wafanye vitu constructive wao ni party after party....
 
 
Mliopo karbu mtuambie bwawa limepata maji au haijanyesha uko
 
Dah. Hadi tunasahau kama mada ni mpambano wa CCM vs CCM baada ya “kuzimisha” upinzani!

Mama karithi na anaendeleza legasi aliyorithi ya propaganda endelevu na utukuzaji kiongozi usio na kikomo (relentless). Hakutelekeza vyote. Awamu za nyuma (<4) hatukuwa na maajabu haya ya enzi za Mao na Kim Il Sung.

Yaani mapicha ya Rais na dondoo zake kila mahali, kushukuriwa kwa kila kitu katika kila fani na hata kwa mambo yanayotokea vijijini kwa juhudi za wananchi, nyimbo za sifa hadi makanisani! CCM ni msiba wa taifa. Acha wafu wazikane.
 
Hakuna anayejua ukabila kuliko msu K Nchi ilishakuwa ya wasukuma tu ,ila hamjitambui, hiyo kauli ya Mungu hadhihakiwi iliwafaa nyie , hamjajigundua tu !.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…