Mvua kubwa Pwani na Dar; Tujuzane hali ilivyo maeneo yetu ili tuwe na taarifa za TAHADHARI

Mvua kubwa Pwani na Dar; Tujuzane hali ilivyo maeneo yetu ili tuwe na taarifa za TAHADHARI

Ndugu zangu mliopo pwani naamini mpo salama
Chukueni tahadhari na Mungu awalinde

Hapo ulipo mvua ipo kias gani??
Hapa nilipo inanyesha sana na radi kali mpaka usingizi umekata
Si KAWAIDA mvua za radii kama izii dar es salaam Tanzania...

Daku Ina endeleajee hapo...hapa nipo Afghanistan...najiandaa kwenda Iran kwa MOJTABA ALI KHEMENEI SUPREME LEADER ila mvua Leo sio poaaaa
 
Back
Top Bottom