Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Huku gongo la mboto imenyesha kubwa sana mpaka kuna mshangazi alikua anakuja mda huu imebidi apitilize kwake tuu
So sad ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜
So sad ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜
Hii nadhani ni Dar nzima na radi za hatari. Kulala hapa saa 12 asubuhi.Huku gongo la mboto imenyesha kubwa sana mpaka kuna mshangazi alikua anakuja mda huu imebidi apitilize kwake tuu
So sad ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜
Kweli mkuu sio ya kuchukulia poa watu wana riskSema watu hivi huwa wanalala misikitini au wale wanaoazini..azana zinapigwa tu kila msikiti na mvua yote hii inayoambatana na radi. Imani ni jambo kubwa sana!
Hatari sana mkuu, kweli ukiwa na imani kama chembe ya haladali tu unahamisha milima.Kweli mkuu sio ya kuchukulia poa watu wana risk
Ndio vizuri watu tukulane..joto lilikuwa too much bibie!Hama sasa hivi
Maana kwa nionavyo hii ngoma hadi asubuh
Hapa masaki pia inanyesha kubwa saa kumi hii!Goba inapiga balaa...saa Tisa hii na dakika 20 Sina cha usingizi Wala nn imeanza saa saba au sita
Watakuja kukupingaHatari sana mkuu, kweli ukiwa na imani kama chembe ya haladali tu unahamisha milima.
Kama masai dadaNdo shida ya kuwa singo..
Yess..
Sa we nae dume zima linaogopa Radi! We wakati umelala unaogopa radi na mvua, wengine ndio inawenyeshea katika kupambania maisha na mengineyo!Sema watu hivi huwa wanalala misikitini au wale wanaoazini..azana zinapigwa tu kila msikiti na mvua yote hii inayoambatana na radi. Imani ni jambo kubwa sana!
Radi inaua dadaangu na yapo matukio ya watu kupigwa na radi na kufa so kama binadamu uoga upo tu haijarishi awe mwanaume au mwananamke linapofika swala la uhai uoga unakuingia. Kupambana kupo ila tahadhali ni muhimu kuchukua pia.Sa we nae dume zima linaogopa Radi! We wakati umelala unaogopa radi na mvua, wengine ndio inawenyeshea katika kupambania maisha na mengineyo!
Mkuu saivi ni kipindi kizuri sanaa kwa Waislamu kufanya ibada misikiti saivi haikauki watu 24hrs misikiti ina watu wanofanya ibada mpaka imalize RamadhaniSema watu hivi huwa wanalala misikitini au wale wanaoazini..azana zinapigwa tu kila msikiti na mvua yote hii inayoambatana na radi. Imani ni jambo kubwa sana!
Kweli mkuu, watu wanaimani kweli kweli hasa hiki kipindi cha mfungo uona kabisa maisha yanavyobadirika kwa ujumla. Kungekuwa na vipindi hata vinne kwa mwaka nadhani watu wangepunguza maasi sana.Mkuu saivi ni kipindi kizuri sanaa kwa Waislamu kufanya ibada misikiti saivi haikauki watu 24hrs misikiti ina watu wanofanya ibada mpaka imalize Ramadhani
Usijali kipenzi chenu yupo njiani kuja kuwa tetea, Busu la KengeHapa Jangwani tupo juu ya bati sasa hivi ila ikiendelea nusu saa tu hata hili bati litazama.