Aisee... I can feel your painHuku gongo la mboto imenyesha kubwa sana mpaka kuna mshangazi alikua anakuja mda huu imebidi apitilize kwake tuu
So sad 😭😭😭😭😭😭
Watu wa Pwana na Dar es Salaam, bana mvua kidogo roho juu juu kama mmehukumiwa kunyongwaNdugu zangu mliopo pwani naamini mpo salama
Chukueni tahadhari na Mungu awalinde
Hapo ulipo mvua ipo kias gani??
Hapa nilipo inanyesha sana na radi kali mpaka usingizi umekata
Watu wa Pwana na Dar es Salaam, bana mvua kidogo roho juu juu kama mmehukumiwa kunyongwa
Mvua kubwa wakuu. Halafu msifikiri tunaogopa radi tu. Wasiwasi wetu njaa wakuu fikiria na mvua hii nitatembeza vipi uduvi?Watu wa Dar mnadeka sana aisee, kamvua kadogo tuu cha kuoteshea mahindi mnalialia
Ya kuanzia jana ni kubwa mnoooWatu wa Pwana na Dar es Salaam, bana mvua kidogo roho juu juu kama mmehukumiwa kunyongwa
Barabara sasaGoba njia nne inakimbiza mpaka sahv
Ni kweli radi za namna hii sijaziona kitamboNina mwaka wa 4 nipo Mpwapwa, Dodoma.
Sijawahi kuona mvua kama hizi!
Mvua hizi ndizo zimefanya ibaki kidogo tuta la reli ya SGR kwenda na maji na kufanya treni kusimama siku tatu.
Mwaka huu mazao yamekubali.
Mwaka huu kulikuwa hakuna lile Jua la mwezi wa pili.
Miaka yote mvua hunyesha mwezi January tu then mwezi wa pili husimama kisha mwezi March rasha rasha na hapo ndo mwisho wake!
Jana ilianza saa 1 usiku hadi 5.
ndio mara yangu ya kwanza kuona Radi na Ngurumo ndani ya miaka hii minne.
Biashara inakuwa changamoto kwenye hali ya mvua kubwa hasa kwa miundombinu yetu ya Dar. Inabidi uduvi muanze kuuza kijidataliMvua kubwa wakuu. Halafu msifikiri tunaogopa radi tu. Wasiwasi wetu njaa wakuu fikiria na mvua hii nitatembeza vipi uduvi?