Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Mpaka sasa sa nne bado kunasehemu inanyesha wakuuHii nadhani ni Dar nzima na radi za hatari. Kulala hapa saa 12 asubuhi.
Mpaka sasa sa nne bado kunasehemu inanyesha wakuuHii nadhani ni Dar nzima na radi za hatari. Kulala hapa saa 12 asubuhi.
Simple mkuuu don't feel her age go... AnyoneAisee... I can feel your pain
Mishangazi mnaipatapateje
Nami naipatapateje
Radi sio poa kabisa unaweza usiogope kama haujawahi shuhudia ikimkausha mtuUkitaka kujua radi si kitu cha kuleta utani nacho, Nenda Rukwa, Ruvuma, Kigoma na Kanda ya Ziwa.
Radi za hii mikoa, zinaweza kuondoa uhai wako within a second!
Radi si kitu cha mchezo.
Kuna radi moja ilipiga wanafunzi wa Businda Secondary, Kule Bukombe Geita. Ikaua wanafunzi Saba na kujeruhi wengine. ilipiga darasa wakiwa kwenye vipindi.View attachment 3557743
Mimi binafsi nilisoma Bukoba kanda ya ziwa, Hizi radi nilizi experience kabisa. Yani radi ikipiga unaona kabisa ule mstari⚡️unajichora na kushuka ardhini kabisa.
Kuna siku tupo darasani, uliwaka mwanga mkali, sasa kwa vile radi ni kama umeme, husafiri kwenye vitu vya chuma, kiti nilichokuwa nimekalia kilikuwa na chuma, nilisikia kabisa shoti, mwilini.
Radi ikipiga sehemu, kitu chochote chenye asili ya chuma, kinapokea ule umeme wa radi.
Kuna mwanafunzi mmoja wa shule ya msingi, hiyo shule ipo jirani na sekondari yetu, sasa huyo mwanafunzi ni binti mdogo tu, alikuwa anaenda kumpelekea mwalimu mwamvuli. Mvua ilikuwa inapiga kwelikweli na radi zinawaka.
Sasa ile ametoka darasani na mwamvuli wake anampelekea mwalimu ambaye alikuwa nje ya darasa hilo, kwenye gari lake, ili waweze kurudi wote darasani na mwamvuli huo.
Aisee! ile anatembea kumuendea mwalimu alipo, iliwaka radi, ikapiga kile kichuma cha juu ya mwamvuli ☂️. Ikammaliza yule mwanafunzi palepale. Yule mwanafunzi alikuwa mweusi tii! Akafa palepale.
Kilicho mwokoa yule mwalimu, yeye alikuwa ndani ya gari.
Radi sio poa, ni zaidi ya umeme.
Binafsi ni muoga sana wa radi.
Hicho kilichopiga Dar Leo ni Cha kuoteshea mchicha halafu wanalia liaWatu wa Dar mnadeka sana aisee, kamvua kadogo tuu cha kuoteshea mahindi mnalialia 😂
Kero za mvua ukanda wa pwani ni za kipekee sanaHicho kilichopiga Dar Leo ni Cha kuoyeshea mchicha halafu wanalia lia
Manake ni kwamba unogopa kifo sio?Binafsi ni muoga sana wa radi.
Acheni uoga mazeeKero za mvua ukanda wa pwani ni za kipekee sana
Wadada wa arusha bhana😅Acheni uoga
Lini nimekuwa mdada aisee?Wadada wa arusha bhana😅
OkLini nimekuwa mdada aisee?
Mnadeka bwanaa, sie huku mbona ndio maisha ya kila siku na wala hatutoi milio kama nyieShida ardhi imejaaa maji
Mvua kidogo ni hapapitiki wala hapaendeki na hii imenyesha kubwa sana
Hicho kilichopiga Dar Leo ni Cha kuoteshea mchicha halafu wanalia lia
Ila kwa Dar es Salaam, kila mwaka huwa kuna kuwa na mvua ya kuacha watu midomo wazi, labda ndio hiiEee
Aisee leo madhara yapo
Bushsister,> Bushmamy
Kwanini ulikimbia?Nilikimbia
JF wote si tunaishi down town kwenye maghorofa, wewe jangwani unafanya nini? 😹😹😹Hapa Jangwani tupo juu ya bati sasa hivi ila ikiendelea nusu saa tu hata hili bati litazama.
Kwanini ulikimbia?