Mvua kubwa Pwani na Dar; Tujuzane hali ilivyo maeneo yetu ili tuwe na taarifa za TAHADHARI

Mvua kubwa Pwani na Dar; Tujuzane hali ilivyo maeneo yetu ili tuwe na taarifa za TAHADHARI

Radi inaua dadaangu na yapo matukio ya watu kupigwa na radi na kufa so kama binadamu uoga upo tu haijarishi awe mwanaume au mwananamke linapofika swala la uhai uoga unakuingia. Kupambana kupo ila tahadhali ni muhimu kuchukua pia.
Kuna mzee jirani tumemzika jnne ya wiki hii hii kwa kupigwa na radi muache ajimwambafai labda kaumbwa na mawe au chuma
 
Habari Wadau,
Nimeona kupitia CNN kwamba maeneo kadhaa yanatarajiwa kukumbwa na mvua za El nino mwisho mwa mwaka 2026. Nilipotafuta ukweli wa hizi taarifa kwa nchi ya Tanzania nilikutana na hili andiko

Meteorologists project a high chance of El Niño conditions significantly affecting Tanzania between late 2026 and early 2027. The Tanzania Meteorological Authority (TMA) is closely monitoring rising ocean temperatures in the Pacific, as El Niño typically triggers prolonged and heavy "Vuli" (short) rains.

What to expect in late 2026:
​
  • Intense Rainfall: Areas receiving bi-modal rainfall—particularly the Northern Highlands, Lake Victoria Basin, and the coast—are highly susceptible to above-normal precipitation and potential flash floods.​
  • Health Risks: Standing water and excessive rains tend to increase the prevalence of vector-borne illnesses, including malaria and Rift Valley fever.​
  • Agricultural Impact: While crops will benefit from increased moisture, severe flooding can damage fields and cause livestock diseases.​
Preparation and Monitoring:
Because El Niño's exact severity is unpredictable, the government has previously implemented national contingency plans to protect vulnerable communities, secure infrastructure, and avert disease outbreaks.


Kwavile hizi taarifa za kwenye mtandao hazijatolewa na yeyote wa TMA, naomba wahusika watoke hadharani ili kuuandaa umma kwa hizi mvua tarajadi.
Ahsante
​
 
Back
Top Bottom