Mvua kubwa ilioambatana na upepo imenyesha Kibaha

Pole sana ila kuna funzo la kiimani hapa
MUNGU ANAPENDA TOBA ILIYOFANYWA KWA WAKATI....namaanisha....
HIZO TOBA ZA KUSHTUKIZA INAMAANA UMEFANYA TU KWA KUWA UMEONA HAMNA NAMNA.
Tuwe tunafanya toba mara nyingi iwezekananvyo na kuacha matendo mabaya HASA YALE YANAYOUMIZA WATU WENGINE!
Kumbuka: Ukimkosea Mungu mfano kwa kuacha kusali anaweza kukusamehe kwa haraka ILA ukikosea mtu mfano, kumuibia, kumroga, kumnyima haki, Kunyanyasa nk nk msamaha unatakiwa utoke kwa mtu uliyemkosea pamoja na kuwa Mungu anaweza kusamehehe akiona inafaa. kwa hali ya kawaida huwezi kukosea mtu halafu uende kutubu kanisani/msikitini na uliye mkosea yupo??? na hapa ndipo watu wengi wata angamia kwa kukosa maarifa!
 
Achana naye nyumbu huyu! Anadhani Mungu ni wa kudhihakiwa
 
Uliyemroga unamuombaje msamaha? Uliyemuibia unaenda kumwambiwje? Unachanganyikiwa!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…