Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Mimi nipo huku ghorofani sijui vinavyo endelea huko njee...Bado hajasema.
Upepo unavuma sana kule Kigamboni. Soon inashuka mama wa mvua zilizopita.
Tukubali kuwa tumeikosea Nature kwa kuiharibu na sasa inatuharibu
Hizi mvua sio za kawaida 😊😊 Kwa kweli ila atakuja mdau mmoja hapa atasema wanaume wa Dar bwanaa