Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Naona na wingu linatandaGoogle wanasema " Tegemea mvua Dar es Salaam kuanzia saa 4:00 asubuhi ya leo tarehe 30.01.2024"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona na wingu linatandaGoogle wanasema " Tegemea mvua Dar es Salaam kuanzia saa 4:00 asubuhi ya leo tarehe 30.01.2024"
😂😂bora dhehebu lako linakuruhusu kutubu ukiwa mwenyewe, mimi mpaka nimtafute Paroko aniondelee dhambi sijui mtawahi pale kigangoni
Probability mazeeWaongo hao
Wiki mbili zilizopita ulipita upepo mkali sana Ilemba, Solola na Maameni kuelekea ziwa Rukwa, wilaya ya Sumbawanga vijijini ulioharibu mashamba ya mahindi ekari kwa maekari, miti kudondoka na kuezua nyumba kadhaa. Cha kumshukuru Mungu upepo huo ulipita mida ya saa kumi na moja za jioni watu wakiwa nje ya makazi yao. Taarifa ya vifo ni chache sanaPoleni sanaaa hope hakuna madhara ...hasa vifo na uharibifu wa mali na miundombinu
Mkuu toba ni toba mradi iwe ya kweli kabisa, Kujutia ulichokifanya.. Hata ikiwa ndio hatua ya mwisho kabisa ukitubia kwa dhati huenda ukasamehewa maana umeonesha unyenyekevu kwake.Pole sana ila kuna funzo la kiimani hapa
MUNGU ANAPENDA TOBA ILIYOFANYWA KWA WAKATI....namaanisha....
HIZO TOBA ZA KUSHTUKIZA INAMAANA UMEFANYA TU KWA KUWA UMEONA HAMNA NAMNA.
Tuwe tunafanya toba mara nyingi iwezekananvyo na kuacha matendo mabaya HASA YALE YANAYOUMIZA WATU WENGINE!
Kumbuka: Ukimkosea Mungu mfano kwa kuacha kusali anaweza kukusamehe kwa haraka ILA ukikosea mtu mfano, kumuibia, kumroga, kumnyima haki, Kunyanyasa nk nk msamaha unatakiwa utoke kwa mtu uliyemkosea kwanza NDIO MUNGU AKUSAMEHE... huwezi kukosea mtu halafu uende kutubu kanisani/msikitini na uliye mkosea yupo??? na hapa ndipo watu wengi wata angamia kwa kukosa maarifa!
google vimeo sana,,labda wabahatisheGoogle wanasema " Tegemea mvua Dar es Salaam kuanzia saa 4:00 asubuhi ya leo tarehe 30.01.2024"
Cc. MsaniiNimetubu sala zote asikwambie mtu, upepo ni mkali sana pamoja na radi.
Unamjibia mungu sioPole sana ila kuna funzo la kiimani hapa
MUNGU ANAPENDA TOBA ILIYOFANYWA KWA WAKATI....namaanisha....
HIZO TOBA ZA KUSHTUKIZA INAMAANA UMEFANYA TU KWA KUWA UMEONA HAMNA NAMNA.
Tuwe tunafanya toba mara nyingi iwezekananvyo na kuacha matendo mabaya HASA YALE YANAYOUMIZA WATU WENGINE!
Kumbuka: Ukimkosea Mungu mfano kwa kuacha kusali anaweza kukusamehe kwa haraka ILA ukikosea mtu mfano, kumuibia, kumroga, kumnyima haki, Kunyanyasa nk nk msamaha unatakiwa utoke kwa mtu uliyemkosea kwanza NDIO MUNGU AKUSAMEHE... huwezi kukosea mtu halafu uende kutubu kanisani/msikitini na uliye mkosea yupo??? na hapa ndipo watu wengi wata angamia kwa kukosa maarifa!
ndo inanyesha sasaWaongo hao
Hapa kariakoo Dsm muda si mrefu itaanza maana angani kumefunga mawingu..Nimetubu sala zote asikwambie mtu, upepo ni mkali sana pamoja na radi.
Ass2asaaaaaNdo Kwanzaa....
Yaani mtu achukue shamba la mtu, amroge mtu, amrushe mtu haki yake, ale mali za yatima; halafu atubie kwa dhati??? nakubali yapo ya kutubia Msikitini/kanisani ILA mengi yanahusu kurekebisha kwanza mtu aliyokosea watu, mfano: arudishe kwanza, Mali, shamba la mtu kama alidhulumu nk....ndio akatubie na kama mtu hana nafasi ya kurekebisha....... hapo tuna muachia Mungu afanye kazi yake.....Mkuu toba ni toba mradi iwe ya kweli kabisa, Kujutia ulichokifanya.. Hata ikiwa ndio hatua ya mwisho kabisa ukitubia kwa dhati huenda ukasamehewa maana umeonesha unyenyekevu kwake.
Bado hajasema.
Acha ujuaji basi, nikizini nikinywa pombe.. Naenda kumtaka radhi nani?Yaani mtu achukue shamba la mtu, amroge mtu, amrushe mtu haki yake; halafu atubie kwa dhati?
Rekebisha kwanza uliyokosea watu, rudisha shamba la mtu kama ulidhulumu nk....ndio ukatubie na kama mtu hana nafasi ya kurekebisha hapo ndio tuna muachia Mungu
WATU WANGU WATA ANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA!!!
Kurugenzi ya mawasiliano Mbinguni.....kila aamini anavoona yy ni sahihiPole sana ila kuna funzo la kiimani hapa