Mvua kubwa ilioambatana na upepo imenyesha Kibaha

bora dhehebu lako linakuruhusu kutubu ukiwa mwenyewe, mimi mpaka nimtafute Paroko aniondelee dhambi sijui mtawahi pale kigangoni
😂😂
Halafu Paroko naye amuombe Mama Maria akawaombee! Hapo Bado mvua inasubiri tu?!
 
Poleni sanaaa hope hakuna madhara ...hasa vifo na uharibifu wa mali na miundombinu
Wiki mbili zilizopita ulipita upepo mkali sana Ilemba, Solola na Maameni kuelekea ziwa Rukwa, wilaya ya Sumbawanga vijijini ulioharibu mashamba ya mahindi ekari kwa maekari, miti kudondoka na kuezua nyumba kadhaa. Cha kumshukuru Mungu upepo huo ulipita mida ya saa kumi na moja za jioni watu wakiwa nje ya makazi yao. Taarifa ya vifo ni chache sana
 
Mkuu toba ni toba mradi iwe ya kweli kabisa, Kujutia ulichokifanya.. Hata ikiwa ndio hatua ya mwisho kabisa ukitubia kwa dhati huenda ukasamehewa maana umeonesha unyenyekevu kwake.
 
Duh madaraja ya Tegeta kwa ndevu, Boko Nyakasangwa, na Bagamoyo ni muhimu kukaguliwa mara kwa mara
 
Unamjibia mungu sio
 
Mkuu toba ni toba mradi iwe ya kweli kabisa, Kujutia ulichokifanya.. Hata ikiwa ndio hatua ya mwisho kabisa ukitubia kwa dhati huenda ukasamehewa maana umeonesha unyenyekevu kwake.
Yaani mtu achukue shamba la mtu, amroge mtu, amrushe mtu haki yake, ale mali za yatima; halafu atubie kwa dhati??? nakubali yapo ya kutubia Msikitini/kanisani ILA mengi yanahusu kurekebisha kwanza mtu aliyokosea watu, mfano: arudishe kwanza, Mali, shamba la mtu kama alidhulumu nk....ndio akatubie na kama mtu hana nafasi ya kurekebisha....... hapo tuna muachia Mungu afanye kazi yake.....
Nyongeza: Pharaoh/Firauni yule wa habari za Musa alitubia baada ya kuona anakufa kwa maji na Mungu alimkatalia na kujibiwa kuwa, alikuwa na nafasi ya kutubu muda mrefu na hakufanya hivyo...
WATU WANGU WATA ANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA!!!
 
Acha ujuaji basi, nikizini nikinywa pombe.. Naenda kumtaka radhi nani?
Toba ina vipengele vyake, hayo uliyoyasema ni sahihi ukimkosea mtu anza kumuomba msamaha, kuna dhambi unamkosea mungu kupitia mtu, lakini kuna dhambi humkosei mtu unamkosea mungu mwenyewe moja kwa moja.
 
Kurugenzi ya mawasiliano Mbinguni.....kila aamini anavoona yy ni sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…