Mvua kubwa ilioambatana na upepo imenyesha Kibaha

Bado hajasema.

Upepo unavuma sana kule Kigamboni. Soon inashuka mama wa mvua zilizopita.

Tukubali kuwa tumeikosea Nature kwa kuiharibu na sasa inatuharibu
Mimi nipo huku ghorofani sijui vinavyo endelea huko njee...

Hizi mvua sio za kawaida 😊😊 Kwa kweli ila atakuja mdau mmoja hapa atasema wanaume wa Dar bwanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…