Mvua kubwa kunyesha Tanzania

Mvua kubwa kunyesha Tanzania

Anna Nkya

Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
69
Reaction score
341
Mamlaka ya Hali Tanzania, kupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter imesema kuna mvua kubwa zitanyesha Tanzania hivi karibuni.

Tujiandae.

rains-2.jpg
 
Mvua ni baraka
Tujiandae tunaoishi kwenye njia za kupitisha maji
 
Wazee wa hali ya hewa siwaamini kama ambavyo mkubwa wa mawaziri haaminiki..
Itanyesha hainyeshi, jamaa mzima wa afya anachapa kazi kumbe marehemu
 
Back
Top Bottom