Mvua kubwa kunyesha Tanzania

Mvua kubwa kunyesha Tanzania

Mamlaka ya Hali Tanzania, kupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter imesema kuna mvua kubwa zitanyesha Tanzania hivi karibuni.

Tujiandae.

View attachment 2478297
WANAWATAKIA MAFURIKO MEMA ,UNUNIO,MBEZI BEACH PEMBEZONI MWA MTO MBEZI,KAWE,BOKO,KIGOGO,SINZA NA MWANANYAMALA,JANGWANI, MTAFAIDI MAFURIKO KAMA KAMBALE. VILE
 
Kwa hiyo ile miti mil 2 waliyosema imekatwa inakuwaje?
Tz Kuna watu wengi wajinga lakini wanajifanya werevu, miezi miwili nyuma watu walisema mvua hazinyeshi sababu ya miti mil 2 iliyokatwa ujenzi wa bwawa. Sasa hivi mvua sijui miti imeota
 
Back
Top Bottom