Mvua kubwa kunyesha Tanzania

Wameona imenyesha kila mkoa tena kwa ukubwa ndio na wao wametabiri sasa
 
Ngoja nizibe banda langu la kuku linavuja wasije pata baridi..
 
Mamlaka ya Hali Tanzania, kupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter imesema kuna mvua kubwa zitanyesha Tanzania hivi karibuni.

Tujiandae.
Je zitajaza bwawa letu kwa % ngapi?
 
Hao huwa wanavizia mvua zikianza kunyesha ndio wanakuja na the so called utabiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…