Mvua kubwa na radi jijini Dar es Salaam na Pwani yote. Mtaani kwako kwema?

Shida kwamba kusoma ni jambo moja,kuelewa ni jambo jingine.
Tuwavumilie tu
 
USSR,
Wee Acha tuuuuu! Nawaza jinsi ya kutoka Vitz yangu na hili tope nashindwa kuelezea. Watoto nimewaambia wasiende Shule mvua ni nyingi barabara hazipitiki.
Umaskini wa akili huzaa maskini.
Watoto wanaacha kwenda shule, wanakosa haki yao ya msingi sababu ya mawazo ya kimaskini ya viongozi wanaoongoza taifa tajiri.
 
Kweli mvua imepiga na radi za hapa na pale lakini maeneo yaliyoathirika ni yale yale ya siku zote kila mvua inaponyesha katika jiji la dsm. lakini kimsingi miradi mingi ya miundombinu inaendelea jijini dsm tunaamin miradi hii itakapofikia mwisho na tatizo la mafuriko litapungua kiasi chake.
Mungu ibariki Afrika Mungu ibariki Tanzania
 
Jangwani kwema huko?

Your browser is not able to display this video.


Distributed Denial-of-Service
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…