masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,576
- 20,183
Mpaka sasa nahesabu 3 hrsPoleni huko madam! Huku hali ni swari kabisa
Imebid nichek tangazo TMA kumbe walitoa tahadhariNiliko mimi imenyesha hadi nimekumbuka enzi za Nuhu.
Bado haijakata. Na umeme umeingia mitini.
Radi na ngurumo pia vipo.
Hama sasa hiviHatari sana aisee usingizi hauji kabisa tuliokuwepo mabondeni
Si KAWAIDA mvua za radii kama izii dar es salaam Tanzania...Ndugu zangu mliopo pwani naamini mpo salama
Chukueni tahadhari na Mungu awalinde
Hapo ulipo mvua ipo kias gani??
Hapa nilipo inanyesha sana na radi kali mpaka usingizi umekata
Sio poa kabisaSi KAWAIDA mvua za radii kama izii dar es salaam Tanzania...
Daku Ina endeleajee hapo...hapa nipo Afghanistan...najiandaa kwenda Iran kwa MOJTABA ALI KHEMENEI SUPREME LEADER ila mvua Leo sio poaaaa
Balaa mpaka dirisha la vioo limepasuka hapaSio poa kabisa
Ya aina hii sijaiona siku nyingi sana
DuhhHama sasa hivi
Maana kwa nionavyo hii ngoma hadi asubuh
Poleni. Inshallah helikopta za URT zitawasalimisha!Hapa Jangwani tupo juu ya bati sasa hivi ila ikiendelea nusu saa tu hata hili bati litazama.
Hii kwa Dar radi zinalindima kwelikweliNdugu zangu mliopo pwani naamini mpo salama
Chukueni tahadhari na Mungu awalinde
Hapo ulipo mvua ipo kias gani??
Hapa nilipo inanyesha sana na radi kali mpaka usingizi umekata
Hama sasa hiviHapa Jangwani tupo juu ya bati sasa hivi ila ikiendelea nusu saa tu hata hili bati litazama.
Kwa kweliIt’s raining cats and dogs.
#Hallelujah
Nahama vipi chini kumejaa maji kama bahari?Hama sasa hivi