Mvua kunyesha kubwa sana na muda mwingine rasharasha, Huko angani kuna koki?

Sasa hilo Ni swali la kuuliza mtu aliepata japo elimu ya darasa la Saba.

Hiyo ni mada ya darasa la 4.Swali la aibu kabisa mtu mzima tena yuko jf.

ELIMU ELIMU ELIMU
Nakazia ...

1. Elimu
2. Elimu
3. Elimu
 
Haijawai tokea mvua ikanyesha kubwa bila kumalizikia na ya manyunyu Kama nikivyoeleza kwenye kopo.

kwenye suala la kunyesha ndogo tu mwanzo mwisho tukirudi mfano wa kopo ni hilo kopo lijajaa means pressure ndogo.
Huu mfano wa kopo sio kabisa. Bora maji yanayo chemka katika sifuria yakafunikwa na mfuniko,kadri mvuke unavyo kua mwingi matone yatadondoka mengi
 
"...hakika katika hayo kuna mazingatio kwa wenye akili"

"...basi ulizeni kwa wenye kujua ikiwa nyinyi hamjui"

Una akili kamanda ngoja tusubiri majibu kwa wenye kujua
 
Huu mfano wa kopo sio kabisa. Bora maji yanayo chemka katika sifuria yakafunikwa na mfuniko,kadri mvuke unavyo kua mwingi matone yatadondoka mengi
Swali limeulizwa kuhusu 'Utofauti wa unyeshaji wa mvua je ju kuna bomba' wewe unajibu 'Formation of the rain fall' huwoni umeingia OUT OF THE PONT.

Swali halitaki ueleze mvua inayengenezwa vipi, unatakiwa ujibu vitu vinavyofanya mvua inyeshe kwa utofauti after reaching a dew point
1)Pressure
2)Wind
3)Density

mimi jibu langu limeBase kwenye Pressure but nimeelezea kwamtindo Simple even darasa la 2 B aelewe.
 
Maswali ya kijinga yapo Sana,wakati mwingine Kuna maswali ya kipumbavu kwa mjinga aliyeadvance.
 
Hili swali linaonekana la hovyo lakini linahitaji kufikiri sana. Nadhani sasa tuanze kuuliza yale maarifa tulipewa shuleni na vyuoni kama ni sahihi.
Kama ni mgandamizo tuu ambao unachangiwa na mawingu vipi kipindi cha masika ambacho hudumu hata miezi mitatu?
Anyway lazima tuanze upya kupitia elimu na maarifa yetu ikiwezekana tuwavunze vijana wetu kutafiti na kufikiri
 
Mpaka saiv majib ni y empty .naona watu wanajibu tofauti kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…