Mvua kunyesha kubwa sana na muda mwingine rasharasha, Huko angani kuna koki?

Mkuu hili swali sio la hovyo hata kidogo linahitaji tija ya kulifikiria sana kwa kina.

Mfano wa mfanano wa swali kama hilo alilouliza mtoa mada, ambalo uwa najiuliza pia ni kuwa kama mvua inafanyika kwa kupitia mvuke kupanda juu, kisha mvua inajiunda kwenye mawingu na kisha kuyeyuka na kurudi chini kama mvua tena, na huo mzunguko ufanyika tena na tena. Ni sawa tu,lakini vipi kuhusu kiangazi mbona mvuke pia upanda juu lakini haurudi tena chini kama mvua???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…