Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Ukisikia wanyaki wanavyopanadi kama haujafika utavutiwa napo mnoMbeya ni kijiji kikuubwa ...(Mateo Qaresi)
Mbona pazuri,Ukisikia wanyaki wanavyopanadi kama haujafika utavutiwa napo mno
Mamy,uliadimikaa,Tunaomba Mungu Mvua isije na hasira kiasi hicho.
Niko poa kipenzi.Mamy,uliadimikaa,
U mzima?
Ni pazuri kama kijiji na sio jijiMbona pazuri,
Vizuri mamy,siye tupo mjengoni.Niko poa kipenzi.
Nimerejea sasa
Daah😁,,jiji kubwa,,,Arusha vs Mbeya?Ni pazuri kama kijiji na sio jiji
Naona mapambano yanaendelea 😜Vizuri mamy,siye tupo mjengoni.
Mbeya ni kijiji kizuri namba moja Tanzania nzimaDaah😁,,jiji kubwa,,,Arusha vs Mbeya?
Daah,Mbeya ni kijiji kizuri namba moja Tanzania nzima
Mapambano yanaendelea Kwa Kasi.Naona mapambano yanaendelea 😜