Dahhh!! Hizi mvua za mwakahuu balaa
Moto tunaoMlikuwa mnaambiwa elnino inakuja mkaziba masikio
Lakini Mbeya miaka ya karibuni imekuwa ikipondwa kuliko kusifiwaUkisikia wanyaki wanavyopanadi kama haujafika utavutiwa napo mno
Mhm inawezekana wameshtukaLakini Mbeya miaka ya karibuni imekuwa ikipondwa kuliko kusifiwa
Mvua ya leo ilikuwa ya kawaida sana. Ilikuwa mvua ya mawe lakini ilikuwa fupi na sio ya kuleta maafa kiasi hikiOoooh El Nino ni utapeli haya hii ni maitrodaksheniiii
Ulikuwepo Mbeya leo? Mvua ya leo ilikuwa ya kawaida sanaMlikuwa mnaambiwa elnino inakuja mkaziba masikio
Ni miaka ya 1998 huko kipindi hicho ni huyo jamaa mkuu wa Mkoa.Mbeya ni kijiji kikuubwa ...(Mateo Qaresi)
Washindwe wao sasa umeme wa 27kMbeya ni kijiji kikuubwa ...(Mateo Qaresi)
Kwa Nzovwe sishangai mkuu, yale maeneo hayajakaa sawa maji kushuka kutoka kule Simike ni kawaida, sehemu nzuri ni kama Iyunga, Meta,Mabatini kama unaenda Chinji, na Simike yenyewe, hata Mabatini kama unaenda Itende maji huwa yanajaa sana.Ulikuwepo Mbeya leo? Mvua ya leo ilikuwa ya kawaida sana
Kama ulimaanisha mvua kubwa, jua tu bado hazijaanza. Maana iliyonyesha leo hata siwezi kuiita mvua kubwa