Niko good 😅😅😅Mapambano yanaendelea Kwa Kasi.
Ukisikia sisi wanyakyusa tunaosifia Mbeya jua tunaliongelea eneo letu la Tukuyu (greenish area through out the year) mpaka Kyela. Mbeya mjini vumbi jingi. Labda hizi barabara zinazotengenezwa zitapunguza vumbi kwa maeneo ya mjini ila ukiingia mitaani huko kuanzia kwa mama John, Isanga, Nzovye mpaka Iwambi bila kuisahau Mbalizi vumbi ni jingi. Lakini hali hii inasababishwa na aina ya soil structure and composition ya eneo zima la Mbeya. Kwahiyo vumbi kuepukika kipindi cha kiangazi ni ngumu.Ukisikia wanyaki wanavyopanadi kama haujafika utavutiwa napo mno
Ushawahi kuishuhudia?Mvua ya mawe?
Sio vumbi tu mpango mji mbovu mpaka nyumba za tope zipo downtown kabisaUkisikia sisi wanyakyusa tunaosifia Mbeya jua tunaliongelea eneo letu la Tukuyu (greenish area through out the year) mpaka Kyela. Mbeya mjini vumbi jingi. Labda hizi barabara zinazotengenezwa zitapunguza vumbi kwa maeneo ya mjini ila ukiingia mitaani huko kuanzia kwa mama John, Isanga, Nzovye mpaka Iwambi bila kuisahau Mbalizi vumbi ni jingi. Lakini hali hii inasababishwa na aina ya soil structure and composition ya eneo zima la Mbeya. Kwahiyo vumbi kuepukika kipindi cha kiangazi ni ngumu.
Niko MbeyaNgoja wanaobeza elinino waje kuwachamba!!
Sio ElninoTunaomba Mungu Mvua isije na hasira kiasi hicho.
Hakuna ElninoMlikuwa mnaambiwa elnino inakuja mkaziba masikio
Hilo ni kweli na hii ilitokana na mipango miji mibovu ya mamlaka zilizopita. Ila kwasasa naona kuna mabadiriko makubwa ya kurekebisha miji mingi tu Tanzania kuiweka katika hali za kisasa.Sio vumbi tu mngapo mji mbovu mpaka nyumba za tope zipo downtown kabisa
Sawa, lakini mvua ya dk 10, ina maana kiwango cha rainfall ni kikubwa kuliko kawaida mpaka hio miundo mbinu kuelemewaHakuna Elnino
Mifumo ya maji taka (mitaro) mbeya ni mibovuuuu
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Itabidi wajirekebishe sasaSio Elnino
Mbeya kwenye mitaro WAMEFELI.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Dharau zimezidi,NakujaTunaomba Mungu Mvua isije na hasira kiasi hicho.
Mlikuwa mnaambiwa elnino inakuja mkaziba masikio