tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Jangwani kunanyesha ufisadi tu,tunapigwa halafu tunaletewa comedyDodoma mvua inanyesha?
Umeloa hadi ndani?Mi mwenyewe nimelowa sana Leo wakati wa kurudi home...mvua gani haisikii hata mwamvuli....imeharibu mwamvuli wangu umegeuka juu kwa upepo mkali....kesho siendi kaziniπ
Kiasi chakeUmeloa hadi ndani?
Mvua ya kawaida sana hii mbona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vimefundishwa vikatae lift unaweza kutaka kumsaidia mtoto anakataa bora tuwe tunawaacha tu siku kuna kitoto kilikuwa na mwenzake kikasema lift nikasimama niwapakie mmoja akakataa nikambeba mwenzake hivyo ni kuwaacha tuHalafu mtu gari lote yupo peke yake hata kuchukua watoto watatu hataki anaona kabisa wanaloa ukiuliza watachafua.
π³Kiasi chake
Mkuu ungefany ad mwez ujao elnino Ni dharula kubw kwa watotoHeeh ngoja kesho nimwambie mwalimu mkuu wanangu Wana dharura, till Monday
Asante kwa taarifa mdauπ
Unasubiri Tangazo kumbe?Ila ni kweli kwa hizi mvua, ilitakiwa shule za Msingi na Sec wasimamishe masomo, hali ni mbayaa sana,
Watoto wanapata adha kubwa mnoo njiani.
Yani toka juzi hawaendiMkuu ungefany ad mwez ujao elnino Ni dharula kubw kwa watoto
Unawaharibu hao watoto, wewe ndio ungekuwa wa kwanza kuwahimiza waende shule kila sikuYani toka juzi hawaendi
Wanashinda ndani kula na kucheza game
Nimwemambia mwalimu,wanangu Wana chanjo za UTI ππ€£
Heeh inavomwagika hukuUnawaharibu hao watoto, wewe ndio ungekuwa wa kwanza kuwahimiza waende shule kila siku
Utabiri wa hali ya hewa wanasema hali ya hewa itakuwa sawa by January.Sio zifungwe hadi hali ya hewa itakapokaa sawa mkuu?
wewe ni nani hadi utoe ushauri mkubwa kihivyo. acha wenye vyeo vyao wafanye kazi zaoKwa hali ya hewa inavyoendelea hivi sasa nashauri shule za Dar zifungwe kwa muda hadi January 2024.
Watoto wakae majumbani na familia zao ili kuepusha maafa zaidi na MADHARA yanayoweza kujitokeza kutokana na mvua kubwa zinazoendelea jijini Dar es Salaam.