Mvua za El nino: Serikali inasubiri nini kufunga shule

Helicopter parent ndio nini mkuu? Before I Google it?
 
Kwani kuna maafa yoyote yamesharipotiwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hv Kwann wananchi wa dar mnakuwa wajinga kiasi hiki, kwani hizi mvua zipo Dar tuu mbona ht huku Mwanjelwa mvua kibao lkn hakuna hayo malalamiko kama yenu
 
Sasahivi hawaliwi kimasihara?
Tena sasa hivi ndio hatari kwa sababu Barabara mbovu mtoto foleni kubwa as Magari mtoto anaweza Rudi nyumbani saa mbili usiku na defence yake itakuwa usafiri mbovu foleni kubwa.
 
TMA walisemaje?

Mvua ya kawaida tu ,hii mikimiki
Maji kujaa hamjazoea tu

Ova
 

[emoji16][emoji16]
Bila shaka wanao bado wapo kiunoni.
 
[emoji16][emoji16]
Bila shaka wanao bado wapo kiunoni.
Hakika, bila shaka we ni mwanamke 😝😝

Onaa nna zawadi yako (Na ya wote pia), ni kitabu kipo tu online kinaitwa PARENTING WITH LOVE AND LOGIC.

Kuna pande mbili zitajitokeza kwenye huu uzi, so:
Sio mbaya kila mmoja akakipitia ili kuuelewa upande wa pili wa mwenzake. Aani tuelewane wote.
 


Nashukuru mkuu, nitajaribu kukicheck.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…