Mvua za El nino: Serikali inasubiri nini kufunga shule

Mvua za El nino: Serikali inasubiri nini kufunga shule

Andaa mtoto kwa ajili ya barabara, usipende kuandaa barabara tu kwa ajili ya mtoto.

Mnunulie makoti mabuti na maboya ya kuogeleaa aelee tu akisombwa na maji. Ongezea sasa na filimbi ya kuombea msaada (mfundishe kuitumia tu)😆😅😅😅😅😅😅

On a serious note lakini tujitahidi kuwaandaa watoto kuweza kuhimili mikikimkiki ya maisha kuliko kutaka kusawazisha kila aina ya changamoto kwa ajili yao. Jikague na kasome suala la helicopter parents.

Na kama hali ni ngumu sana, basi wafunge kweli na hilo jambo ni kiotomati tu hali itaonesha
Helicopter parent ndio nini mkuu? Before I Google it?
 
Kwa hali ya hewa inavyoendelea hivi sasa nashauri shule za Dar zifungwe kwa muda hadi January 2024.

Watoto wakae majumbani na familia zao ili kuepusha maafa zaidi na MADHARA yanayoweza kujitokeza kutokana na mvua kubwa zinazoendelea jijini Dar es Salaam.
Kwani kuna maafa yoyote yamesharipotiwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hv Kwann wananchi wa dar mnakuwa wajinga kiasi hiki, kwani hizi mvua zipo Dar tuu mbona ht huku Mwanjelwa mvua kibao lkn hakuna hayo malalamiko kama yenu
 
Andaa mtoto kwa ajili ya barabara, usipende kuandaa barabara tu kwa ajili ya mtoto.

Mnunulie makoti mabuti na maboya ya kuogeleaa aelee tu akisombwa na maji. Ongezea sasa na filimbi ya kuombea msaada (mfundishe kuitumia tu)[emoji38][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

On a serious note lakini tujitahidi kuwaandaa watoto kuweza kuhimili mikikimkiki ya maisha kuliko kutaka kusawazisha kila aina ya changamoto kwa ajili yao. Jikague na kasome suala la helicopter parents.

Na kama hali ni ngumu sana, basi wafunge kweli na hilo jambo ni kiotomati tu hali itaonesha

[emoji16][emoji16]
Bila shaka wanao bado wapo kiunoni.
 
[emoji16][emoji16]
Bila shaka wanao bado wapo kiunoni.
Hakika, bila shaka we ni mwanamke 😝😝

Onaa nna zawadi yako (Na ya wote pia), ni kitabu kipo tu online kinaitwa PARENTING WITH LOVE AND LOGIC.

Kuna pande mbili zitajitokeza kwenye huu uzi, so:
Sio mbaya kila mmoja akakipitia ili kuuelewa upande wa pili wa mwenzake. Aani tuelewane wote.
 
Hakika, bila shaka we ni mwanamke [emoji13][emoji13]

Onaa nna zawadi yako (Na ya wote pia), ni kitabu kipo tu online kinaitwa PARENTING WITH LOVE AND LOGIC.

Kuna pande mbili zitajitokeza kwenye huu uzi, so:
Sio mbaya kila mmoja akakipitia ili kuuelewa upande wa pili wa mwenzake. Aani tuelewane wote.

Nashukuru mkuu, nitajaribu kukicheck.
 
Back
Top Bottom