GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Binadamu ni Watu Wanafiki mno yaani tunamkumbuka na Kumlilia Mwenyezi Mungu pale tu tukiwa na Shida zetu ila tukifanikiwa tunamsahau ghafla.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukishajua tu Mungu ni nani kamwe huwezi kuwa Taahira wa kusema kuwa Yeye siyo mleta Mvua na kila Kitu kwa dunia hii tuliyoko.Mvua hailetwi na Mungu
Ukishajua sayansi japo kwa uchache tu utagundua idea ya kusema mvua imeletwa na Mungu ni upimbi tuUkishajua tu Mungu ni nani kamwe huwezi kuwa Taahira wa kusema kuwa Yeye siyo mleta Mvua na kila Kitu kwa dunia hii.tuliyoko.
Huwa ninachukia Kukutana na Fools JF.
Tafadhali 'edit' hapo kwa kuondoa neno Wanadamu na weka neno Watanzania ( Waswahili ) Mkuu.Hujui kuwa wanadamu ni wanafiki...
Tafadhali 'edit' hapo kwa kuondoa neno Wanadamu na weka neno Watanzania ( Waswahili ) Mkuu.
Huyo Mwanasayansi ameumbwa nani? Kuna Mwanasayansi zaidi ya Baba Muumba Mbingu na Dunia?Ukishajua sayansi japo kwa uchache tu utagundua idea ya kusema mvua imeletwa na Mungu ni upimbi tu
Hata nikiwa mjinga wakujitoa ufahamu nikakubaliana na jibu lako bado huwezi kuthibitisha ni Mungu gani kati ya maelfu ya Miungu ambaye ameleta mvuaDah!!!
Jamani mvua inaletwa na Mungu
Another FOOL.Hata wachawi wanauwezo wa kuzuia au hata kushusha mvua wakitaka
Nonsense.Kwahiyo hutaki au hujui ?
Hahaaa kalaghabao. Wewe ubafikiri watu wamemuomba Mungu kumbe wenzio wameomba mizimu mitakatifu ya afrika.Nonsense.
Dhana ya kuumbwa ni ulaghai na kudumaza fikra unaoleta usaliti wa kuwakana wazazi walio kuzaaHuyo Mwanasayansi ameumbwa nani? Kuna Mwanasayansi zaidi ya Baba Muumba Mbingu na Dunia?
You're a CERTIFIED FOOL on the Earth.
Rubbish.Hahaaa kalaghabao. Wewe ubafikiri watu wamemuomba Mungu kumbe wenzio wameomba mizimu mitakatifu ya afrika.
Just agree that you're an authentic Nut.Dhana ya kuumbwa ni ulaghai na kudumaza fikra unaoleta usaliti wa kuwakana wazazi walio kuzaa
Huyo baba muumba ni imaginary tu kama harrypotter, mpe heshima baba yako mzazi kwa kukuleta duniani na kukulea mpaka ukaja kuwa blind fooled na dini kwa ujinga wako