Mvua zilipogoma Kunyesha tulimlilia mno Mungu, je, ni lini tutahimizana tena Kupiga Magoti mbele yake Kumshukuru kwa hizi Mvua?

Mvua zilipogoma Kunyesha tulimlilia mno Mungu, je, ni lini tutahimizana tena Kupiga Magoti mbele yake Kumshukuru kwa hizi Mvua?

Hapo ndipo tunapo kwama, mimi binasfi na kwama kilasiku wakati wa kula.
Kabla sijala namwomba mungu anibarikie chakula changu alichonipa ili nipate nguvu za kumtumikia vema, ila nikimaliza kula sishukuru nanawa nachapa mwendo.

Sijui shetani anafanyaga nini hapa kwenye kipengele cha shukrani.
 
Ukishajua tu Mungu ni nani kamwe huwezi kuwa Taahira wa kusema kuwa Yeye siyo mleta Mvua na kila Kitu kwa dunia hii.tuliyoko.

Huwa ninachukia Kukutana na Fools JF.
Ukishajua sayansi japo kwa uchache tu utagundua idea ya kusema mvua imeletwa na Mungu ni upimbi tu
 
Hata wachawi wanauwezo wa kuzuia au hata kushusha mvua wakitaka
 
Tupitie hapa tujifunze...hii NI universal cycle Haina uhusiano na Tanzania
Cc😡Scars
images.jpg
 
Dah!!!

Jamani mvua inaletwa na Mungu
Hata nikiwa mjinga wakujitoa ufahamu nikakubaliana na jibu lako bado huwezi kuthibitisha ni Mungu gani kati ya maelfu ya Miungu ambaye ameleta mvua
 
Huyo Mwanasayansi ameumbwa nani? Kuna Mwanasayansi zaidi ya Baba Muumba Mbingu na Dunia?

You're a CERTIFIED FOOL on the Earth.
Dhana ya kuumbwa ni ulaghai na kudumaza fikra unaoleta usaliti wa kuwakana wazazi walio kuzaa

Huyo baba muumba ni imaginary tu kama harrypotter, mpe heshima baba yako mzazi kwa kukuleta duniani na kukulea mpaka ukaja kuwa blind fooled na dini kwa ujinga wako
 
Just agree that you're an authentic Nut.
 
Back
Top Bottom