Mvua zinanyesha lakini Maji hayatoki

Maji sio kipaumbele, tumetenga billion 1 tujenge mnara wa mashujaa kwanza pale Dodoma. Ahsante
 
Mgao wa maji utatatulika 2025 januari. Endelea kuwa na subira.
 
Hata uvivu unao kwanini usikinge ya mvua na ukaya tunza.tuanze na kwako kwanza
Kuna watalaam walisemq maji ya mvua sio mazuri kutokana na hewa chafu inayoenda huku juu
 
Hahaha mkuu acha tu subiri bili utaleta ushuhuda hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…