Mvurugano wa Mwakinyo na mapromota umeibua mengi ya ovyo yaliyopo kwenye ngumi

Mvurugano wa Mwakinyo na mapromota umeibua mengi ya ovyo yaliyopo kwenye ngumi

mfaume hamna bondia pale labda useme mwakinyo na twaha
Mmmm tusubiri pambano.lake na yule mbabe wa manzese......patachimbika......twaha nadhani weight tofautiii
 
Mamlaka za ngumi zimemfungia Mwakinyo baada ya kusoma huu uzi wangu. Nitaendelea kushauri mambo makubwa ya kitaifa.
 
Back
Top Bottom