Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa wanaomjua karigo wala hawaumizi kichwaKwenye Ngumi pana ujanja ujanja mwingi sana kwa bondia anaejitambua hawezi kwenda sawa na hao wakina Karigo...Karigo mtu wa Mpira katafuta fursa kwenye ndondi aisee wapunguzieni mzigo mabondia ..
Promote wengi bongo Wwazushi tuAkifanya Anfhony Joshus(AJ) ni ujanja ila Mwakinyo ni ujinga/ushamba?
Nani asiyejua mapromota wa Bongo ni janja janja
Ndiyo.Unasema maoni yako ndo yatakua msimamo wa JF??
Mzee wa Kino tupe maelezo mafupi kuhusu Karigo.Kwa wanaomjua karigo wala hawaumizi kichwa
Ova
Lakini mkuu huyo bondia unayemsema last time alipigwa Tko na mwakinyoNa Mwakinyo kugharamia baadhi ya gharama za maandalizi ni la kawaida hilo? Yeye kama alifanya magumashi, alitakiwa awe mpole ili yasijulikane ya ndani halafu hasira azimalizie kumpiga huyo bondia mbadala mpaka amuue.
Em funguka mkuuChanzo Cha yote haya ni kumgombania wanawake, yakapelekea bifu kati ya kambi ya Hassan na vijana wa mafia
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Niko paleeeee, nasubiri jibu atakalokupatia.Hata mapambano aliyowahi kushinda nje ya nchi alijichagulia wapinzani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwakinyo siyo wa kumtetea sanaHata mapambano aliyowahi kushinda nje ya nchi alijichagulia wapinzani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe umeyaona haya. Kingine Mimi nilichokiona ni kua Bondia mpya aliekua apigane na Mwakinyo ni mzuri zaidi na ana historia nzuri zaidi.Mimi sio mtu wa mchezo wa masumbwi ila nimelazimika kufuatilia huu mzozo kati ya Mwakinyo na mapromota na kujikuta nimejua mambo kadhaa kuhusu mchezo huo. Na baada ya wengi wenu kunisihi nitoe maoni yangu kuhusu hili sakata nimeona acha nitumie haki yangu ya kikatiba ya uhuru wa kutoa maoni. Na haya maoni yangu ndo yatakuwa msimamo wa JF.
1. Mwakinyo kusema kuwa kakataa kupigana kwasababu ya kubadilishiwa bondia dakika za mwisho ni uongo mtupu. Bondia anayetajwa kubadilishiwa alilipiwa kila kitu na Mwakinyo. Ina maana yeye ndo aliamua kujiletea mpinzani wake. Haya ni maajabu kwenye boxing ya Tanzania. Huyo bondia angepigwa tu atake asitake. Yaani kila kitu nimekulipia mimi bado unipige?
2. Kwenye huu mzozo promota Karigo kajitahidi sana kuwa professional ila kasoro yake kubwa ni kutokuwa na pesa. Ni promota njaa. Kwa melezo ya Karigo na Mwakinyo ni kuwa kuna baadhi ya gharama zililipwa na bondia Mwakinyo baada ya kuwa Promota kashindwa. Kwa mfano Karigo anasema mpinzani wa Mwakinyo aligharamiwa na Mwakinyo mwenyewe. Sasa kama mpinzani alilipiwa na Mwakinyo ina maana tayari kungekuwa na mgongano mkubwa wa kimaslahi. Kwangu mimi ni kama Mwakinyo alinunua ushindi.
3. Bado Mwakinyo ana akili ndogo sana za kibiashara na ana uswahili wa kipuuzi. Mwakinyo mwenyewe alikiri kuwa sababu nyingine iliyosababisha akakataa kupigana ni kuhusishwa kwa kampuni ya Mafia Promotions kwenye pambano lake. Kama nilivyosema mwanzoni ni kuwa promota Karigo hana pesa za kutosha ikabidi atafute kampuni nyingine washirikiane ndo akawapata hao Mafia. Mwakinyo akawakataa Mafia kwa kudai hao jamaa ana ugomvi wao binafsi. Hii ni sababu ya kipuuzi kwenye professionalism. Yaani uwe na ugomvi binafsi na watu wa kampuni ndo uichukie kampuni? Na hata baada ya Mafia kuamua kujiondoa bado Mwakinyo akataka mabondia wote walio chini ya kampuni ya Mafia waliotarajiwa kupigana mapambano ya ufunguzi waondolewe. HUU ULIKUWA NI UWENDAWAZIMU WA MWAKINYO.
4. Kitendo cha promota kutufichulia siri kuwa Mwakinyo huwa anajichagulia mabondia wa kupigana nao kimemvua nguo Mwakinyo na kuonekana huwa anashinda kimagumashi. Inatajwa kuwa Mwakinyo amekuwa akijichagulia mabondoa wadhaifu kwa maslahi yake binafsi.
5. Shirikisho la ngumi za kulipwa nalo haliwezi kuepuka lawama kwa kutochukua hatua kwa mambo mengi ya kijinga yanayochafua boxing.
Ninamshauri Mwakinyo aache janja janja na kufuata utaratibu. Anachofanya ni kujidanganya. Msimamo anaodai kuwa nao ni wa kijinga na hauwezi kumsaidia.
Hivi na bondia Awadhi Tamimu aliishia wapi?Mwakinyo siyo wa kumtetea sana
Me mwenyewe nilimkubali mwanzo tu baadaye nikaona ni mtu ambaye haeleweki
Vyama vya siasa au vilabu vya soka
Vione kipaji chake cha kusema na vimchukue kwaajili ya kuvisemea lakini kwenye ngumi hawezi
Kushinda hata mandonga huwa anashinda tu
Mwakinyo mwanzo alishinda vizuri sana kwa ngekewa tu na watu wakampokea kwa ukubwa kuliko uwezo wake
Akajitahidi kufanya mazoezi na kujiimarisha zaidi ili sifa alizopata ziwe ni sehemu ya maisha yake na aendelee kuwa juu zaidi
Lakini uwezo wake umepingana na hilo amebaki kujitahidi kufake mambo na kuwasimulia watu kwamba yeye ni hatari kiasi gani na siyo kuwaonyesha uwezo
Bongo ngumi bado sana ni kwasababu watu hawaifanyi kiprofessional wengi wenye elimu hawajaiona kama ni fursa kiasi gani na kuamua kuwekeza huko vizuri siku wakiona hii fursa tutaona mabadiliko ya kweli
Ngumi ya leo Tanzania ni kama tu bongo fleva ya zamani bado haijapata mapinduzi ya kueleweka lakini watanzania kwenye ngumi tuna kitu siku moja tutafika mbali tutakuwa na millioneirs wa kutokana na ngumi
Mwakinyo ni bondia wa kawaida sana
Ambaye hawezi kufua dafu kwa twaha wala Ibrahim huo ndiyo ukweli
BONDIA Mtanzania Hassan MWAKINYO amethibitisha kuwa hakutakuwa na pambano lake dhidi ya Bondia kutoka Namibia, Julius Munyelele Indongo na kusitisha biashara ya ununuzi wa tiketi kwa ajili ya pambano lake hilo.Mwakinyo siyo wa kumtetea sana
Me mwenyewe nilimkubali mwanzo tu baadaye nikaona ni mtu ambaye haeleweki
Vyama vya siasa au vilabu vya soka
Vione kipaji chake cha kusema na vimchukue kwaajili ya kuvisemea lakini kwenye ngumi hawezi
Kushinda hata mandonga huwa anashinda tu
Mwakinyo mwanzo alishinda vizuri sana kwa ngekewa tu na watu wakampokea kwa ukubwa kuliko uwezo wake
Akajitahidi kufanya mazoezi na kujiimarisha zaidi ili sifa alizopata ziwe ni sehemu ya maisha yake na aendelee kuwa juu zaidi
Lakini uwezo wake umepingana na hilo amebaki kujitahidi kufake mambo na kuwasimulia watu kwamba yeye ni hatari kiasi gani na siyo kuwaonyesha uwezo
Bongo ngumi bado sana ni kwasababu watu hawaifanyi kiprofessional wengi wenye elimu hawajaiona kama ni fursa kiasi gani na kuamua kuwekeza huko vizuri siku wakiona hii fursa tutaona mabadiliko ya kweli
Ngumi ya leo Tanzania ni kama tu bongo fleva ya zamani bado haijapata mapinduzi ya kueleweka lakini watanzania kwenye ngumi tuna kitu siku moja tutafika mbali tutakuwa na millioneirs wa kutokana na ngumi
Mwakinyo ni bondia wa kawaida sana
Ambaye hawezi kufua dafu kwa twaha wala Ibrahim huo ndiyo ukweli
Busara haijatumikaBONDIA Mtanzania Hassan MWAKINYO amethibitisha kuwa hakutakuwa na pambano lake dhidi ya Bondia kutoka Namibia, Julius Munyelele Indongo na kusitisha biashara ya ununuzi wa tiketi kwa ajili ya pambano lake hilo.
Aidha Mwakinyo ametoa ombi kwa Baraza la michezo Tanzania (BMT) kusimamia haki za Bondia Munyelele ambaye tayari yupo Nchini kwa ajili ya pambano hilo kwa mujibu wa sheria.
“Fight has been cancel baada ya mazungumzo kuto fika atamu na sasa ni rasmi hakutakua na pigano langu hakuna tena biashara ya kununua ticket ...
“Ombi kwa wizara ya michezo na BMT naomba wasimamie haki za bondia Julius Indongo amefika kwa ajili ya pambano na sheria ni kama pambano limevunjika kwa bondia mmoja inabidi mgeni alipwe haki zake kwakua yeye amefika.
“Naomba simamieni promoter amemkana anasema hamjui na haya mambo hayana mwenyewe na sisi huwa tunasifiri kwenda nchi za watu yanaweza tukuta pia i hope litafanyiwa kazi.!! Next time!! Wanasema kufa kwa Imamu sio mwisho wa swala...” ameandika Mwakinyo kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii.
View attachment 2767389
Sent using Jamii Forums mobile app
mfaume hamna bondia pale labda useme mwakinyo na twahaMajor Semunyu tunaimba pambano Mwakinyo na Mfaume Mfaume ili ngebe ziishe maana mipasho imezidi sana ....hata lisiwe na mkanda tuone nani mbabe .....