FRANCIS DA DON JF-Expert Member Joined Sep 4, 2013 Posts 38,920 Reaction score 44,970 Mar 3, 2022 #101 Mimi. said: Kitabu alikiandika ndani ya mwaka mmoja ? Click to expand... Hahahah, halafu hicho kitabu hajaandika Mengi, yeye Mengi amefanya ‘uhariri’ tu na kuruhusu kichapishwe, basi. Kuna watu wanalipwa kwa kazi ya kuandika vitabu, wao wana hariri tu na kukipitisha...
Mimi. said: Kitabu alikiandika ndani ya mwaka mmoja ? Click to expand... Hahahah, halafu hicho kitabu hajaandika Mengi, yeye Mengi amefanya ‘uhariri’ tu na kuruhusu kichapishwe, basi. Kuna watu wanalipwa kwa kazi ya kuandika vitabu, wao wana hariri tu na kukipitisha...
Lexus SUV JF-Expert Member Joined Sep 16, 2016 Posts 4,493 Reaction score 5,591 Dec 5, 2022 #102 Na amsha popoooooo