Mvutano Mirathi ya Mengi wapamba moto. Abdiel & Benjamin wapinga kutupwa maombi yao na Mahakama ya Rufani

Mvutano Mirathi ya Mengi wapamba moto. Abdiel & Benjamin wapinga kutupwa maombi yao na Mahakama ya Rufani

Kitabu alikiandika ndani ya mwaka mmoja ?
Hahahah, halafu hicho kitabu hajaandika Mengi, yeye Mengi amefanya ‘uhariri’ tu na kuruhusu kichapishwe, basi. Kuna watu wanalipwa kwa kazi ya kuandika vitabu, wao wana hariri tu na kukipitisha...
 
Back
Top Bottom