Mvutano wa Kisheria Waanza Kesi ya Boniface Jacob, Andiko Kuhusu Mafwele Lawekwa Kwenye Hati ya Mashtaka

Nakumbusha tu, mahakama ikitoa AMRI kwamba u-LOGIN kwenye akaunti yako ya mtandano, log in mara kadhaa kwa 'password' ya uongo halafu usema UMESAHAU 'password'.

Kisheria, kama DPP atasema mtuhumiwa UNAKUMBUKA password, basi yeye (DPP) atatakiwa KUTHIBITISHA hilo, la sivyo itabaki kuwa TUHUMA tu dhidi yako.

Hakimu naye, hana MAMLAKA kisheria & hawezi kukulazimisha ukumbuke jambo fulani kichwani mwako kwa sababu FAHAMU ni jambo la Muumba. Kesi inakuwa imefia hapo.

Good Night.
Baba Mwita X
 
Changamoto inakuja kwa hizi simu tunaunlock kwa finger print na unakuta hukuLog out account zako.
 


Wakati huyu jamaa ana tweet yote hayo alijua hizi risk zote na akaendelea, naona Kama Police wanakurupuka na watashindwa, watu wan akili sana!
 
Huyo Mafwele ndio angetakiwa kumfungulia kesi ya defamation huyo Boni Yao…sijajua serikali inaingiaje hapa au tu ni Kwa sababu mafweke ni mtumishi wa serikali?
Serikali haina locus standae kwenye defamation case… ni kesi ya mafwele v Bon yai…mafweke Ndio anayetuhumiwa Kwa mambo mbali mbali sio serikali…waache kutumuia kodi zetu vibaya.
 
Kwanini huyo Mafwele asijitokeze mwenyewe kumfungulia kesi Bonny.

Huyo Mafwele kwani hayupo?

Wanajua ukweli tu akijitokeza hadharani na kwa joto la kesi hii camera na mitandao ya kijamii basi wengi sana watamtambua wajihi wake vizuri hivyo huenda hata waliowahi kuteswa naye au kufanyiwa mateso kwa amri yake watajitokeza .

Maana mahakamani hataingia kwa kujificha kama anayotekeleza maovu yake huko mafichoni.
 
Wao jamhuri wanajuaje kama Mafwele hahusiki? hawa wanajua fika kuwa Mafwele ndiyo mhusika no 1
 
Hee!
kumbe usalama wa Boniface upo mashakani?
ina maana na wao wanmhofia Mafwele?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…