Mvutano wa Kisheria Waanza Kesi ya Boniface Jacob, Andiko Kuhusu Mafwele Lawekwa Kwenye Hati ya Mashtaka

Boni yai anafaa sana kuwa mrithi wa Mbowe, na potentially msumari wa mwisho kwenye jeneza la CCM, waendelee kumpa umaarufu na spirit tu!
 
 
Uko sahihi kabisa. Halafu mbaya zaidi ni kuwa huyu Mafwele ni mtuhumiwa wa mauaji tangu zamani sana. Wananchi hawajaanza leo. Nakumbuka ni tangu kabla ya Magufuli hajawa rais. Amekaa Arusha, Mwanza na sasa Dar na kote anatuhumiwa.
 
Tutumie Mitandao vizuri sio kupost vitu ambavyo huna uhakika navyo Mchuma Janga hula na wakwao
Ccm na policcm ni watekaji na wauaji na ushahidi upo. Nguvu ya ccm ili iwepo ni lazima watumie njia za panya kama hizo za kuyadhibiti wapinzani.
 
Boni Yai nilichojifunza hana ujasiri wowote
Taarifa anachapisha yeye halafu mahakamani anakana sio yeye ni utoto angekuwa jasiri kwelikweli Angesema ndio na niko tayari kutoa ushahidi

Hamna mtu jasiri hapo
 
Nimesoma charge sheet ya Polisi nimeshangaa!!
Hivi mtandao wa X ( formerly Twitter) ni Computer system!🙄🙄
Mimi najua hiyo ni Social media Platform.
Polisi wetu waendelee kujifunza mambo waache kukariri mambo!
 
Najiuliza tu kama nikiwa mshauri wa pande mbili "kabla chai haijaisha kwenye kikombe maridhiano yatakuwa tayari".
* Kuanza upya - mambo ya nyuma hayatusaidii
Waambie polisi a.k.a watekaji wawaachie vijana wetu, mazungumzo na majizi hatuhitaji.
 
Hivi kwanini wanamwita Boni Yai? Au nayo ni code tusio na D mbili tukae pembeni?
 
Kama mashtaka yenyewe ndio hayo yanaprove incompetence kubwa sana ya hawa jamaa kwa kweli, hivi hamna waliosomea hata sheria tu acha criminal justice? Mafwele ndio kitu gani? Haiwezi kuwa ni jina la spea ya ungo? Au kuna mafwele mmoja tu duniani? Ma rco rpc ni nini? Kuna definition yoyote of specificity ya kwamba mtuhumiwa alimaanisha walivyoelewa wao? Wanathibitishaje? Kwa judge asiyekuwa kada hii ni inatakiwa kuwa dismissed with prejudice inapofika mezani tu, anyway

Wabongo tunatawaliwa mediocre kila mahali sio polisi tu bahati mbaya sana. Siku hizi hata riadha tu (kikimbiza upepo) hatujui so itakuwa kwa wasomi wanaopenda mteremko tu? It’s our normal
 
Boni Yai nilichojifunza hana ujasiri wowote
Taarifa anachapisha yeye halafu mahakamani anakana sio yeye ni utoto angekuwa jasiri kwelikweli Angesema ndio na niko tayari kutoa ushahidi

Hamna mtu jasiri hapo
Maelezo yako ni sawa na kutekwa kizembe,
 
Marais wa kiAfrika wakishindwa hoja wanakimbilia kubambikia watu kesi na kuua, Samia hajaenda tofauti na hii tabia ya Voongozi wa Afrika, alijaribu lakini naona mambo yamemfika shingoni kaamua kuapply ya Magufuli and co!!
 
Boni yai apige dua mahakama ikatae ombi la upande wa serekali na aikatae hiyo account siyo yake ila ikiruhusu tu itabidi apeleke ushahidi wa hizo tuhuma alizoandika mtandaoni akikosa ushahidi anakula mvua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…