Tetesi: Mvutano wafukuta kati ya JK na YM nani aanze urais kati ya RK na JM

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,848
Reaction score
7,762
Familia mbili nchini zenye ushawishi ktk tasnia ya siasa, zaanza kuvutana.
Inadaiwa JK anataka RK aanze huku naye YM akitaka JM ndiye aanze.

Uzee unakuja kwa kasi kwa wote wawili RK na JM na hivyo kukimbizana na umri ndiyo chanzo cha mgogoro.

Hayo yanajiri huku EN ambaye atamsaidia Mama 2025 hadi 2030 akitazamwa kwa tahadhari kwani naye sio haba na ana wivu mno agunduapo kuna watu wanaingia 18 zake.
Yetu macho na la kutia moyo Mungu ndiye Mpanga wa Yote.

Sijataja jina la mtu hivyo mchukue tahadhari ktk hili. Niwaombe sana zungumzeni kwa Code.
 
Kete mbili 6+4=10 zitaliwa kabla ya oktoba na kampuni haitakua ya ukoo au catels kama tunavyodhani sasa!!

Na kama watajwa wameanza huo ujinga,wataamsha hasira Kali sana ya the originals ambao wanataka kampuni isiwe na wenyewe!!

Kumbuka Kanda ya Victoria Wana hasira sana walipewa donge wakanyan'ganywa ghafla!
 
I can guess these abbreviations refer to: Ridhiwani Kikwete(RM) na (JM) Januari Makamba are all rubbish! bila kupepesa macho wala mdomo na wapiga debe wao all are rubbish
 
Sijataja jina la mtu hivyo mchukue tahadhari ktk hili. Niwaombe sana zungumzeni kwa Code.

Sasa mzee baba kwani hata majina yao halisi yakitajwa ndio hao watu wataacha kuvutana?

Nani asiyejua kwamba January Makamba ana ndoto za Urais au nani asiyejua kwamba mzee Emanuel Nchimbi hana ndoto za Urais?

Labda informarion mpya hapa ni hiyo ya Ridhiwan na mtu kuwa na ndoto za Urais sio dhambi kama kajipima nankuona anatosha...
 
Familia mbili nchini zenye ushawishi ktk tasnia ya siasa, zaanza kuvutana.
Inadaiwa JK anataka RK aanze huku naye YM akitaka JM ndiye aanze.

Uzee unakuja kwa kasi kwa wote wawili RK na JM na hivyo kukimbizana na umri ndiyo chanzo cha mgogoro.

Hayo yanajiri huku EN ambaye atamsaidia Mama 2025 hadi 2030 akitazamwa kwa tahadhari kwani naye sio haba na ana wivu mno agunduapo kuna watu wanaingia 18 zake.
Yetu macho na la kutia moyo Mungu ndiye Mpanga wa Yote.

Sijataja jina la mtu hivyo mchukue tahadhari ktk hili. Niwaombe sana zungumzeni kwa Code.
wameshajimilikisha nchi kuwa Tanganyika ni mali ya familia zao! sas wanagombani aanze nani kutawala wajinga wa Tanganyika. Jeiwii mnafanya nini?
 
Familia mbili nchini zenye ushawishi ktk tasnia ya siasa, zaanza kuvutana.
Inadaiwa JK anataka RK aanze huku naye YM akitaka JM ndiye aanze.

Uzee unakuja kwa kasi kwa wote wawili RK na JM na hivyo kukimbizana na umri ndiyo chanzo cha mgogoro.

Hayo yanajiri huku EN ambaye atamsaidia Mama 2025 hadi 2030 akitazamwa kwa tahadhari kwani naye sio haba na ana wivu mno agunduapo kuna watu wanaingia 18 zake.
Yetu macho na la kutia moyo Mungu ndiye Mpanga wa Yote.

Sijataja jina la mtu hivyo mchukue tahadhari ktk hili. Niwaombe sana zungumzeni kwa Code.
Agenda ya Taifa 2030-2040 ni SG wa chama tawala wa sasa, 2040-2050 asante mbeya kwa kujiandaa vyema, ni mwanamke tena 🐒
 
Kete mbili 6+4=10 zitaliwa kabla ya oktoba na kampuni haitakua ya ukoo au catels kama tunavyodhani sasa!!

Na kama watajwa wameanza huo ujinga,wataamsha hasira Kali sana ya the originals ambao wanataka kampuni isiwe na wenyewe!!

Kumbuka Kanda ya Victoria Wana hasira sana walipewa donge wakanyan'ganywa ghafla!
Dhubutu!!! Wafahamu mchujo na wachujaji? October na tukio kabla mnajifariji tu!!!
 
Sasa mzee baba kwani hata majina yao halisi yakitajwa ndio hao watu wataacha kuvutana?

Nani asiyejua kwamba January Makamba ana ndoto za Urais au nani asiyejua kwamba mzee Emanuel Nchimbi hana ndoto za Urais?

Labda informarion mpya hapa ni hiyo ya Ridhiwan na mtu kuwa na ndoto za Urais sio dhambi kama kajipima nankuona anatosha...
Kuna mtu kataja majina ya watu?
 
Back
Top Bottom