Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,848
- 7,762
yeye ndoto yake ya kutia saini zile pesa umetimia ukiachana na chapa za mawe yake yeye hana harakaMN mbona umemsahau maana mtoto anautaka kweli
Ndicho kitakachotokea!watachonganishwa wamalizane wao kwa wao!!Wauane tuu
I can guess these abbreviations refer to: Ridhiwani Kikwete(RM) na (JM) Januari Makamba are all rubbish! bila kupepesa macho wala mdomo na wapiga debe wao all are rubbishFamilia mbili nchini zenye ushawishi ktk tasnia ya siasa, zaanza kuvutana.
Inadaiwa JK anataka RK aanze huku naye YM akitaka JM ndiye aanze.
Uzee unakuja kwa kasi kwa wote wawili RK na JM na hivyo kukimbizana na umri ndiyo chanzo cha mgogoro.
Hayo yanajiri huku EN ambaye atamsaidia Mama 2025 hadi 2030 akitazamwa kwa tahadhari kwani naye sio haba na ana wivu mno agunduapo kuna watu wanaingia 18 zake.
Yetu macho na la kutia moyo Mungu ndiye Mpanga wa Yote.
Sijataja jina la mtu hivyo mchukue tahadhari ktk hili. Niwaombe sana zungumzeni kwa Code.
Sijataja jina la mtu hivyo mchukue tahadhari ktk hili. Niwaombe sana zungumzeni kwa Code.
Sijamaanisha hao. Acha kupayuka.I can guess these abbreviations refer to: Ridhiwani Kikwete(RM) na (JM) Januari Makamba are all rubbish! bila kupepesa macho wala mdomo na wapiga debe wao all are rubbish
wameshajimilikisha nchi kuwa Tanganyika ni mali ya familia zao! sas wanagombani aanze nani kutawala wajinga wa Tanganyika. Jeiwii mnafanya nini?Familia mbili nchini zenye ushawishi ktk tasnia ya siasa, zaanza kuvutana.
Inadaiwa JK anataka RK aanze huku naye YM akitaka JM ndiye aanze.
Uzee unakuja kwa kasi kwa wote wawili RK na JM na hivyo kukimbizana na umri ndiyo chanzo cha mgogoro.
Hayo yanajiri huku EN ambaye atamsaidia Mama 2025 hadi 2030 akitazamwa kwa tahadhari kwani naye sio haba na ana wivu mno agunduapo kuna watu wanaingia 18 zake.
Yetu macho na la kutia moyo Mungu ndiye Mpanga wa Yote.
Sijataja jina la mtu hivyo mchukue tahadhari ktk hili. Niwaombe sana zungumzeni kwa Code.
Hana lolote atakatwa na haingii 5 bora kuondoa tishio. EN naye............MN mbona umemsahau maana mtoto anautaka kweli
Sasa kama kila mmoja anataka basi waongeze nafasi za uraisi kama tulivyofanya kwenye majimbo.MN mbona umemsahau maana mtoto anautaka kweli
Agenda ya Taifa 2030-2040 ni SG wa chama tawala wa sasa, 2040-2050 asante mbeya kwa kujiandaa vyema, ni mwanamke tena 🐒Familia mbili nchini zenye ushawishi ktk tasnia ya siasa, zaanza kuvutana.
Inadaiwa JK anataka RK aanze huku naye YM akitaka JM ndiye aanze.
Uzee unakuja kwa kasi kwa wote wawili RK na JM na hivyo kukimbizana na umri ndiyo chanzo cha mgogoro.
Hayo yanajiri huku EN ambaye atamsaidia Mama 2025 hadi 2030 akitazamwa kwa tahadhari kwani naye sio haba na ana wivu mno agunduapo kuna watu wanaingia 18 zake.
Yetu macho na la kutia moyo Mungu ndiye Mpanga wa Yote.
Sijataja jina la mtu hivyo mchukue tahadhari ktk hili. Niwaombe sana zungumzeni kwa Code.
Dhubutu!!! Wafahamu mchujo na wachujaji? October na tukio kabla mnajifariji tu!!!Kete mbili 6+4=10 zitaliwa kabla ya oktoba na kampuni haitakua ya ukoo au catels kama tunavyodhani sasa!!
Na kama watajwa wameanza huo ujinga,wataamsha hasira Kali sana ya the originals ambao wanataka kampuni isiwe na wenyewe!!
Kumbuka Kanda ya Victoria Wana hasira sana walipewa donge wakanyan'ganywa ghafla!
unapayuka wewe kama huwezi kuweka idenity zao stupid nyamaza futa takatakaSijamaanisha hao. Acha kupayuka.
Kuna mtu kataja majina ya watu?Sasa mzee baba kwani hata majina yao halisi yakitajwa ndio hao watu wataacha kuvutana?
Nani asiyejua kwamba January Makamba ana ndoto za Urais au nani asiyejua kwamba mzee Emanuel Nchimbi hana ndoto za Urais?
Labda informarion mpya hapa ni hiyo ya Ridhiwan na mtu kuwa na ndoto za Urais sio dhambi kama kajipima nankuona anatosha...