The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,900
- 18,751
Familia mbili nchini zenye ushawishi ktk tasnia ya siasa, zaanza kuvutana.
Inadaiwa JK anataka RK aanze huku naye YM akitaka JM ndiye aanze.
Uzee unakuja kwa kasi kwa wote wawili RK na JM na hivyo kukimbizana na umri ndiyo chanzo cha mgogoro.
Hayo yanajiri huku EN ambaye atamsaidia Mama 2025 hadi 2030 akitazamwa kwa tahadhari kwani naye sio haba na ana wivu mno agunduapo kuna watu wanaingia 18 zake.
Yetu macho na la kutia moyo Mungu ndiye Mpanga wa Yote.
Sijataja jina la mtu hivyo mchukue tahadhari ktk hili. Niwaombe sana zungumzeni kwa Code.
Shida wote ni wabaraSasa kama kila mmoja anataka basi waongeze nafasi za uraisi kama tulivyofanya kwenye majimbo.
You are stupid. sasa unaweka upuuzi wa nini if those individuals can not be identified. Maxence Melo futa takataka hii if those abbreviations can not be identified. Msiruhusu JF uwe ukumbi wa gossiping takataka . Kama hawezi kusema ukweli ni akina nani, basi msiruhusu upuuzi kuwa hapaSijamaanisha hao. Acha kupayuka.
CCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu, pigo moja tu, pigo lililonyooka, pigo takatifuFamilia mbili nchini zenye ushawishi ktk tasnia ya siasa, zaanza kuvutana.
Inadaiwa JK anataka RK aanze huku naye YM akitaka JM ndiye aanze.
Uzee unakuja kwa kasi kwa wote wawili RK na JM na hivyo kukimbizana na umri ndiyo chanzo cha mgogoro.
Hayo yanajiri huku EN ambaye atamsaidia Mama 2025 hadi 2030 akitazamwa kwa tahadhari kwani naye sio haba na ana wivu mno agunduapo kuna watu wanaingia 18 zake.
Yetu macho na la kutia moyo Mungu ndiye Mpanga wa Yote.
Sijataja jina la mtu hivyo mchukue tahadhari ktk hili. Niwaombe sana zungumzeni kwa Code.
Wewe sema takataka ila uzi huu utaishi sana.unapayuka wewe kama huwezi kuweka idenity zao stupid nyamaza futa takataka
Yaani wewe uko kizamani kweli kweli. Umejaa woga wa kishamba na kizamani sana.Kuna mtu kataja majina ya watu?
Mtu anashinda kwa democracy ya kiini macho. JW hawatajua nini kimefanyika.wameshajimilikisha nchi kuwa Tanganyika ni mali ya familia zao! sas wanagombani aanze nani kutawala wajinga wa Tanganyika. Jeiwii mnafanya nini?
Code zako ziko wazi saana. Yani hata bora ungetumia code ficheFamilia mbili nchini zenye ushawishi ktk tasnia ya siasa, zaanza kuvutana.
Inadaiwa JK anataka RK aanze huku naye YM akitaka JM ndiye aanze.
Uzee unakuja kwa kasi kwa wote wawili RK na JM na hivyo kukimbizana na umri ndiyo chanzo cha mgogoro.
Hayo yanajiri huku EN ambaye atamsaidia Mama 2025 hadi 2030 akitazamwa kwa tahadhari kwani naye sio haba na ana wivu mno agunduapo kuna watu wanaingia 18 zake.
Yetu macho na la kutia moyo Mungu ndiye Mpanga wa Yote.
Sijataja jina la mtu hivyo mchukue tahadhari ktk hili. Niwaombe sana zungumzeni kwa Code.
Tafsida na staha zatakiwa huku kwa sababu maalumuYaani wewe uko kizamani kweli kweli. Umejaa woga wa kishamba na kizamani sana.
Kwa kifupi January alishaaga mashindano, Ridhiwani siyo Presidential material 2040 tunampa Jafo atakuwa ameivaFamilia mbili nchini zenye ushawishi ktk tasnia ya siasa, zaanza kuvutana.
Inadaiwa JK anataka RK aanze huku naye YM akitaka JM ndiye aanze.
Uzee unakuja kwa kasi kwa wote wawili RK na JM na hivyo kukimbizana na umri ndiyo chanzo cha mgogoro.
Hayo yanajiri huku EN ambaye atamsaidia Mama 2025 hadi 2030 akitazamwa kwa tahadhari kwani naye sio haba na ana wivu mno agunduapo kuna watu wanaingia 18 zake.
Yetu macho na la kutia moyo Mungu ndiye Mpanga wa Yote.
Sijataja jina la mtu hivyo mchukue tahadhari ktk hili. Niwaombe sana zungumzeni kwa Code.
Wewe mzee!! Punguza jazba.You are stupid. sasa unaweka upuuzi wa nini if those individuals can not be identified. Maxence Melo futa takataka hii if those abbreviations can not be identified. Msiruhusu JF uwe ukumbi wa gossiping takataka . Kama hawezi kusema ukweli ni akina nani, basi msiruhusu upuuzi kuwa hapa
Nani kamtaja na je nani kakuambia kakata tamaa? Unawafahamu wanasiasa?Kwa kifupi January alishaaga mashindano, Ridhiwani siyo Presidential material 2040 tunampa Jafo atakuwa ameiva
Akitoka Dr Nchimbi 2040 anakuja Jesca Shujaa 🐼Familia mbili nchini zenye ushawishi ktk tasnia ya siasa, zaanza kuvutana.
Inadaiwa JK anataka RK aanze huku naye YM akitaka JM ndiye aanze.
Uzee unakuja kwa kasi kwa wote wawili RK na JM na hivyo kukimbizana na umri ndiyo chanzo cha mgogoro.
Hayo yanajiri huku EN ambaye atamsaidia Mama 2025 hadi 2030 akitazamwa kwa tahadhari kwani naye sio haba na ana wivu mno agunduapo kuna watu wanaingia 18 zake.
Yetu macho na la kutia moyo Mungu ndiye Mpanga wa Yote.
Sijataja jina la mtu hivyo mchukue tahadhari ktk hili. Niwaombe sana zungumzeni kwa Code.
Subiri uzi wa kahawa ikiwa moto 2030Hii ndio sababu mojawapo naichukia kahawa
Kazi ya mbwa sio kufukuza mwizi. Kazi ya mbwa ni kumuamsha mwenye mbwa pindi kunapotokea hatari na kumuongoza kufuatilia nyayo. Tofauti ya mbwa na jogoo ni uwezo wa kunusaAgenda ya Taifa 2030-2040 ni SG wa chama tawala wa sasa, 2040-2050 asante mbeya kwa kujiandaa vyema, ni mwanamke tena 🐒