Mvuto wa ajabu wa Diamond Platnumz

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Kuna msemo unasemaga “mafanikio mengine katika maisha huwezi kuyafikia mpaka ujihusishe na nguvu za giza.”

Kwa mafanikio na mvuto aliokua nao Diamond Platnums, bila shaka kuna uwepo wa nguvu zisizoonekana zinazotenda kazi . Jamani huyu mtoto ni balaa, pengine tunamchukulia poa tu ila ana vitu vikubwa sana ndani yake ambavyo bila shaka amevipata au kuongezewa kwa msaada wa nguvu zisizoonekana.

Ndio tunajua Diamond ni Msanii mzuri, ana kipaji, anajituma sana , na anapenda kazi yake , ila jaman kuna kitu cha ziada kuhusu kijana wetu . Huu mvuto wa ajabu alionao toka aanze mziki hajawahi kushuka wala kuteteleka si bure .

Na bila shaka hizi nguvu hajapata kwa waganga wetu hawa wa tandika na magomen wa kuchanjana chale mpaka makalion[emoji16], naona ndugu yetu kavuka boda , nguvu zake sio za nchi hii.




Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mimi mwenyew Nina mvuto jamii forum , toka nianze umbea had leo hakuna wa kunifikia[emoji23][emoji23]


Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umenena haswaaaaaaaaaah binamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hizi fikra ndo hutudumaza waafrika kuhusu mafanikio...
babu alinambia "mzungu na mwafrica tofaut ni rangi tu, akili tupo sawa bt tatizo la mwafrica hutumia zaid nguvu ya mwili kuliko nguvu ya akili ndo maana ni ngum kufanikiwa bt mzungu anaitumia zaid nguv ya akili ndo maana ni rahisi kufanikiwa"
tubadili fikra hakuna nguvu ya giza itakupa utajiri, kama ingekua hivo wachawi na waganga ndo wangekua matajiri wakubwa zaid duniani hapa maana na wao wanazpenda starehe
 

Huelewi unachoongea


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Ukikua utaelewa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ila hapo nguvu za giza ni pagumu kumeza.Kwanini sisi waAfrica tuna amini Sana mtu akifanikiwa ni lazima atakuwa ni Freemason au ni nguvu za waganga ila tunakuwa atuangalii hustle zake mpaka kupata hayo mafanikio
 
Kazi yake ni kutibu, na kusaidia na sio kujisaidia , hayo ndio makubaliano na mizimu, usicheze na mizimu ,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…