warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Kuna msemo unasemaga “mafanikio mengine katika maisha huwezi kuyafikia mpaka ujihusishe na nguvu za giza.”
Kwa mafanikio na mvuto aliokua nao Diamond Platnums, bila shaka kuna uwepo wa nguvu zisizoonekana zinazotenda kazi . Jamani huyu mtoto ni balaa, pengine tunamchukulia poa tu ila ana vitu vikubwa sana ndani yake ambavyo bila shaka amevipata au kuongezewa kwa msaada wa nguvu zisizoonekana.
Ndio tunajua Diamond ni Msanii mzuri, ana kipaji, anajituma sana , na anapenda kazi yake , ila jaman kuna kitu cha ziada kuhusu kijana wetu . Huu mvuto wa ajabu alionao toka aanze mziki hajawahi kushuka wala kuteteleka si bure .
Na bila shaka hizi nguvu hajapata kwa waganga wetu hawa wa tandika na magomen wa kuchanjana chale mpaka makalion[emoji16], naona ndugu yetu kavuka boda , nguvu zake sio za nchi hii.
Sent from my iPhone using JamiiForums