Mvuto wa ajabu wa Diamond Platnumz

Kama Lowassa
 

Safi sana , ahsante kwa maelezo mazuri


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kweli, nakuunga mkono, diamond yupo fit sana spiritually

Sent using Jamii Forums mobile app

Kabisa , ako na nguvu za kiroho, kwa level aliyofikia he needs it , ako na competitors kila sehem na maadui kama wote

Unajua ukiwa na nguvu za kiroho , hakuna atakayeweza kukushambulia kwenye ulimwengu unaoonekana, kuna siri nyingi za mafanikio kwenye ulimwengu usioonekana


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Kwa stage aliyofikia Diamond lazima atumie uchawi kujikinga, ako na maadui wengi sana , mbona kawaida , unadhan yupo yupo tu kakaa ki hasara ? Mtoto wa kigoma yule

Mimi kinachonivutia ni mvuto tu aliokua nao kwenye jamii ambao hauonekan kuisha wala kupungua , yani kila siku anaonekana ni Mpya


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Umeanza lini kumfuatilia Diamond kiasi hiki.. Umekuwa na mahaba ghafla..
 
Diamond is a feminine given name derived from the name of the diamond gemstone. The word is derived from the Greek adamas. The name was the 359th most popular name for baby girls born in the United States ..Tuanzie hapo kwa nini anatumia jina la kike
 
Nilitaka kusema kuhusu hili, majina tunayochagua yana nguvu kubwa katika mafanikio yetu pia.

Si kwamba Diamond alianza kujiita jina hilo baada ya mafanikio, ila akiwa kapuku tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diamond is a feminine given name derived from the name of the diamond gemstone. The word is derived from the Greek adamas. The name was the 359th most popular name for baby girls born in the United States ..Tuanzie hapo kwa nini anatumia jina la kike

Tupo pamoja ktk kujaribu kuelewa umuhimu wa jina la kimkakati.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanachanja mpk makalioni
Warumi ni shida
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanasema hivyo ila sidhan , Diamond hana pesa hizo , ila mvuto alionao kwa jamii is just too extra , kuna nguvu za ziada ako nazo


Sent from my iPhone using JamiiForums
Binamu wale wanachofanya,kupitia kipaji Mungu amekupa ndo wanakitumia!
Kwahiyo km unacho kipaji cha kuimba,instead kumuimbia Mungu wanageuza ni kuimba ngono na ushetani,vitu ambavyo havimpi Mungu utukufu!
Na wanajua wapi watakukamata,penye pesa,watakufanya ujulikane,usisike kifupi,utoke/utoboe....issue ni mikataba,na mashart hupewi yotewanajua utagoma,kwahiyo mashart mengine unakuta wakati umeshaingia ndani,sio siri wana mikataba migumu,kiasi kwamba wakishachoka wakitakaga kutoka wengi hawaelewi wanafanyaje wanaishia kufa vifo vya ajabu ajabu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eheee sasa hapo kwenye kiroho kumegawanyika,kuna kiroho cha Giza na cha Nuru!
Za kuambiwa changanya na zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazungu pia ni Washirikina wakubwa kwa taarifa yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…