Ni mchakato mrefu ulioanza na jina sahihi la kisanii Diamond Platnumz jina rafiki ktk dunia ya teknolojia ya habari na mawasiliano, jina linaloelezea ndoto kubwa na haiba ya kuvuta kama madini ya thamani... wasanii mfano ujiite Zumbekuku lazima utaishia kuwa na mvuto unaoishia ktk eneo moja tu la kidunia na matamanio yako ya umaarufu ni local.
Majina ya makampuni makubwa ya kimataifa yana siri / ndoto kubwa nyuma yake mfano Android, Canon, Oracle , etymology of Google googol , Olympus, Airbus , Audi, Adobe, Volkswagen, Nike, Phoenix , Amazon ilianza kuitwa A ili kwenye buku la majina litangulie kuibuka kabla ya kampuni zingine , Spectre roket n.k ukitafuta maana yake utanifahamu namaanisha nini kuhusu Diamond Platnumz :
Diamond :
a precious stone consisting of a clear and colourless crystalline form of pure carbon, the hardest naturally occurring substance.
"a diamond ring"
synonyms:
precious stone · jewel
- a tool with a small diamond for cutting glass.
- BRITISH
informal
(a diamond)
an excellent or very special person or thing.
"Fred's a diamond"
- a figure with four straight sides of equal length forming two opposite acute angles and two opposite obtuse angles; a rhombus.
Platnumz : a precious silvery-white metal, the chemical element of atomic number 78. It was first encountered by the Spanish in South America in the 16th century, and is used in jewellery, electrical contacts, laboratory equipment, and industrial catalysts.