Mvuto wa Ajabu: Watu, Watoto na Wanyama. Mabaya yapo pia

Haya yote yanakuja baada ya self inquiry ili ujue wewe nguvu zako ziko wapi hasa
 
Anafanyiwa destiny swapping, yaani ile destiny yako mfano kua tajiri mkubwa wa madini, anapewa mwingine halafu yule ya kwake unapewa ww.
Hamna kitu kama hicho. Binafsi naona destiny kama kitu kilicho pre ordained hauwezi kukibadilisha
 
Siku hizi mtu akija na maneno kama yako namwona ni hajitambui kabisa. Yaani hana thought process inayo eleweka. Nilipaswa hata ni sikujibu ila kama mtu asiye na awareness anaweza kubuy into your bs
 
Siku hizi mtu akija na maneno kama yako namwona ni hajitambui kabisa. Yaani hana thought process inayo eleweka. Nilipaswa hata ni sikujibu ila kama mtu asiye na awareness anaweza kubuy into your bs

The truth is Indivisible young boy. Nasema kwa sababu na experience na nilishaona watu wa namna hii.
 
Hamna kitu kama hicho. Binafsi naona destiny kama kitu kilicho pre ordained hauwezi kukibadilisha
umejijibu wewe mwenyewe kua ni binafsi yako. Hebu katika meditations zako, weka intention ya kujifunza destiny swap ili ujipe nafasi ya kujifunza zaidi.
 
Wewe unaongea shit then unataka nikuangalie tu?

Shit gani tatizo Narcissist huwa anajiona yupo sahihi muda wote, anakuwa na grandiosity, entitlement and seeking validation ambazo wewe zote unazo seek treatment haraka. Onana na Psychiatrist mapema.

Mimi ninaelewa kwa sababu nimesoma both Psychiatry and Social Psychology

Wewe unaweza usijione ila mimi nimeku dignose hivyo and I am sure sija ku miss dignose. If you don't like to accept no worries, let wait and see time will tell.
 
Katika spiritualism, kuna kitu kinaitwa SPIRITUAL BYPASS, ndio alicho/anacho/ambacho amekifanya mtoa mada, very likely "Hii ni hypothesis yangu".

kuna madhara ya kusoma vitabu vingi vya kuokota huku ukianza kujirelate na wengine, ndio nyinyi wasomi mnaiita NARCISM, ila sisi tunaiita EGO iliyovaa vazi la kujiona ni bora, na the worst form of EGO, ni SPIRITUAL EGO, sababu unajiona uko sahihi katika ngazi ya kiroho na wengine ni takataka.

katika safari ya kiroho, ukimkuta mtu anatukana ni hana akili sababu mtukanaji ndie anaebeba matusi siku zote, katika stillness mtukanwaji hayamfikii isipokua ameamua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…