Destiny swap?umejijibu wewe mwenyewe kua ni binafsi yako. Hebu katika meditations zako, weka intention ya kujifunza destiny swap ili ujipe nafasi ya kujifunza zaidi.
Yani sitaki ata kuchangia mada zake kwa namna ya kufanya maongezi na yeye, japo ni nzuri sanaNdio nimemwambia mkuu something is not okay anakataa.
YeahNegative vibes ni nyie ndo mnazo, mbona wengine wanachangia vizuri tuu
Kama huna uwezo kaa pembeni, hakuna wa kubuy on your bs
Wewe kama huna cha kuchangia kaa pembeni usilete visingizio na negative energy humu... Siku hizi watu tunajua juzi filter vizuri sana... So stay your lane, Fata mambo yakoYani sitaki ata kuchangia mada zake kwa namna ya kufanya maongezi na yeye, japo ni nzuri sana
Katika spiritualism, kuna kitu kinaitwa SPIRITUAL BYPASS, ndio alicho/anacho/ambacho amekifanya mtoa mada, very likely "Hii ni hypothesis yangu".
kuna madhara ya kusoma vitabu vingi vya kuokota huku ukianza kujirelate na wengine, ndio nyinyi wasomi mnaiita NARCISM, ila sisi tunaiita EGO iliyovaa vazi la kujiona ni bora, na the worst form of EGO, ni SPIRITUAL EGO, sababu unajiona uko sahihi katika ngazi ya kiroho na wengine ni takataka.
katika safari ya kiroho, ukimkuta mtu anatukana ni hana akili sababu mtukanaji ndie anaebeba matusi siku zote, katika stillness mtukanwaji hayamfikii isipokua ameamua.
Nafanya hivyo ila unanitag wewe sijui una tatizo gani?Wewe kama huna cha kuchangia kaa pembeni usilete visingizio na negative energy humu... Siku hizi watu tunajua juzi filter vizuri sana... So stay your lane, Fata mambo yako
The Ego is not the enemy kama mlivyo karirishwa... Hakuna right or wrong on higher levels of consciousnessKatika spiritualism, kuna kitu kinaitwa SPIRITUAL BYPASS, ndio alicho/anacho/ambacho amekifanya mtoa mada, very likely "Hii ni hypothesis yangu".
kuna madhara ya kusoma vitabu vingi vya kuokota huku ukianza kujirelate na wengine, ndio nyinyi wasomi mnaiita NARCISM, ila sisi tunaiita EGO iliyovaa vazi la kujiona ni bora, na the worst form of EGO, ni SPIRITUAL EGO, sababu unajiona uko sahihi katika ngazi ya kiroho na wengine ni takataka.
katika safari ya kiroho, ukimkuta mtu anatukana ni hana akili sababu mtukanaji ndie anaebeba matusi siku zote, katika stillness mtukanwaji hayamfikii isipokua ameamua.
Nafanya hivyo ila unanitag wewe sijui una tatizo gani?
Maarifa yako wewe binafsi unayatoa wapi?Destiny swap?
Mkuu acha kusoma kijiji..
Hebu onesha process inakuaje labda nitaona
Hizi taka taka zako wala usingeniita nisinge kuja asee, jitazame akili yako yako zaidi una shida sana mahaliSita kutag tena... Na usipite katika mada zangu kama huna hoja.
Wewe kinacho kusumbua ni chuki binafsi. And I don't give a damn
Nani aliye kudanganya wewe? Validation ya nini? Usiwe na speculations uchwara kwenye jambo usilolijua
Ok.The Ego is not the enemy kama mlivyo karirishwa... Hakuna right or wrong on higher levels of consciousness
Hii nyumbu imeze dawa za ukichaa kwenye meditation haipo kabisaOk.
keep on meditating chief.
HA HA HA!Hii nyumbu imeze dawa za ukichaa kwenye meditation haipo kabisa
Ana akili sana ila hana uwezo wa kuitawalaHA HA HA!
Its Okay, He will come around.
Napenda jinsi ambavyo huna akili timamu.Wewe kama huna cha kuchangia kaa pembeni usilete visingizio na negative energy humu... Siku hizi watu tunajua juzi filter vizuri sana... So stay your lane, Fata mambo yako