Mvuto wa Ajabu: Watu, Watoto na Wanyama. Mabaya yapo pia

Niambie kidogo kuhusu; imani yako na uchaji wa Mungu, pia niambie kuhusu Kazi unayofanya na kuna changamoto zozote za kiuchumi ulizonazo sasa au wakati uliopita?
Hali ya kiuchumi inaingiliaje hapo mkuu?

Binafsi, I'm so sensitive to people's energy
Yaani I can tell wewe ni mtu wa namna gani before you open your mouth

Lakini pia huwa naweza kujua atmosphere ya room nilisha ingia tu.

Lakini pia nimekubmwa na glare ya watu mara kwa mara.. Watu wanakuaga lia kama vile wewe unatoka sayari nyinngine
 
Are there times you feel your energy is just leaking, not flowing? Now right there its where you stop channelling into that stream, thats protecting it.
 
Sio muda wote lakini pia huwa inanitokea sana hii.
Pia kingine una kwenda sehemu unakuta mtu fulani watu wanamtetemekea sana ila wewe unamuona wa kawaida bila kumuonesha utofauti wowote ila unagundua kuwa secretly ana jealous na wewe wakati ukiangalia ana cheo au possesion kukuzidi kwa kila kitu.

Nilichogundua ukiwa na pure soul plus strong positive emotions aiseee kuna power unatembea nayo. Majivuno, kiburi na uoga vinaua hiyo power.
 
Sio swala la kua spiritual hilo.

Hiyo ni aura kibongo bongo wanaita Nyota, sasa mtu anapokua na aura safi kinachotokea ndio hicho kinachokutokea, watu wengi wana aura chafu ambazo wamebeba uchafu kutoka kwenye Ma pombe "dark spirits", uzinzi, hate, uchawi wa kurushiwa huu mdogo mdogo, vijicho n.k, aura ikichafuka mtu anapoteza huo mvuto ila kila mtu anao so sio kwamba uko special au spiritual.

Sio kutangaza biashara ila hua tuna aura cleansers, ambazo zinasaidia watu katika maisha ya kila siku kusafisha aura/nyota.

Hongera kwa safari yako, hvyo vizuri unavyovivuta kumbuka na vibaya pia vinavutwa, kama ni mtu wa mademu nakushauri acha,

Dhuhuri njema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…