Mvuto wa Ajabu: Watu, Watoto na Wanyama. Mabaya yapo pia

Via sex mkuu.

kuhusu biashara sometimes inategemea na unaefanya nae Biashara.
 
Mimi nasema ukweriiii sitanii mpaka alikua anasema Kuna wanaume/ wanawake Wana mkosi ukilala nao mambo yanakua meusi meusi unapata / andamwa na mikosii mwanzo mwisho mpaka upate utakaso
Yes ni kweli kuhusu hili.

Ila pia sio ukweli kama haujaexperience,

Kwahyo mtu akikataa unamuacha yupo sahihi na akikubali pia yupo sahihi, sababu moto hauchomi kwa kuambiwa tu, kuna wengine mpaka umchome ahisi maumivu ndio akubali
 
Mkuu umetisha sana
 
Ni kweli haya mambo yapo sana, nayaona pia. Kuna mtu akitoa hoja au akiongea watu wanakaa kimya kumsikiliza, mwingine hata kama ana hoja nzuri kiasi gani, unaona hawajali, hawasikilizi.

Unakuta kuna mwanamke akipika chakula kinakuwa kingi, wakati the same quantity akipika mwingine watu hawashibi...

Mifano ni mingi, nahoji tu ni kitu gani hiki, ni nguvu gani hii, inatoka wapi?
 
Mimi naona aura is just a man made concept... Aura haipo ila vibrations ni kweli Zina exist... Kuna watu yeye Kaishika mtoto, anaanza kulia, mwingine akimwangalia tu anaanza kulia
Mambo ya spirtual haya ni mapana mno na kila mmoja hushika lake lakini kila kitu kinabakia nafasi yake. Aura is energy, everything you feel, think, and do radiates a spiritual energy that comes through in various colors and hues, na vibration ndio frequency au quality ya hiyo energy.
 
Mkuu kuna vitu havielezeki hasa haya mambo ambayo yanahusisha nguvu ya asili, ambayo ndio nguvu inaendesha kila kitu.

Njia pekee ya kuyajua ni kujitafuta wewe mwenyewe, ili kupitia kila ulilopitia kwenye maisha yako upate majibu ya kwako mwenyewe ambayo tukizungumza hapa utakua unatuambia kwa utambuzi wa moja kwa moja.
 
Kuna movie moja hivi ya comedy ya wazungu sikumbuki jina lake. Kuna mshkaji alikua dokta wa meno. Yeye akisex tu na mwanamke, huyo mwanamke soon anaolewa. Basi mademu walivyoshtukia mchango ikawa balaa. Jamaa asubuhi anafika kazini anakuta foleni ya wanawake nje ya mlango wa ofisi yake.

Tumia fursa hiyo mkuu.
 
Japo Mimi ni mkristo ila mtu kama shekhe WALID

huyu jamaa ana nyota ana mvuto hata ongea yake huchoki kumsikiliza mwingine ni gwajima hata prophet IPM anaweza kuongea vizuri sana.

Nb. Jaribu kuiga anacho kieleza au kuongea uone kama utaweza kuwa kama wao

Izi ni vipawa/ karama za kipekee za watu ambao ni gifted
 
Energy hii ninayo sana, mifano mingi sana
No. 1
Katika harakati kusaka kibarua nilipita ofisi moja, reception kulikuwa na watu wengi wamekaa kwenye benchi ile naingia niliangalia mara moja ila safari yangu kufika dirisha reception nikaamua kuangalia ASEE macho yote kwangu, nlipotezea kiaina, nmefika nikaanza kuulizia ishu ilonipeleka kabla sjamaliza nkashangaa napapaswa kugeuka kitoto kimemuacha mama ake ambaye alikuwa naye anaelekea sehemu nyingine kikanifuata nilikisemesha na kukiambia mama ana kuita, hakikuondoka hadi alipokifuata kuendelea na na safari yao 😃. Niliwaza sana hiyo moment, nilivyofika hapo nikahamia ofisi nyingine - maneno ya jamaa(MTUMISHI) yalinipa nguvu sana "UNA ENERGY NZURI SANA nikamuuliza kivipi sijaele-CONFIDENCE &PRESENTABLE, NINGEKUWA MKURUGENZI NINGEKUAMBIA KESHO NJOO UANZE KAZI tuliongea mengi kana watu tunajuana kitambo kumbe tulikutana siku hiyo moja ya swali niliuliza zaidi ni nini alichoona kwangu akasema FIRST IMPRESSION MATTER & NINA ENERGY NZURI alinipatia mawasiliano yake.
Yapo mengi uvivu kuandika🙌🤐
 
Kuna dada ilisemekana yeye akiwa na mahusiano tu na mwanaume, lazima huyo jamaa afe. Yaani akianzisha tu mahusiano, watakaa kidogo mara ajali au kuumwa jamaa anakufa.

Mambo ya ajabu haya!!
 
Siwezi kwa kweriiiii maadili na Nina ndoa ya mke mmoja 😂
 
Aura
 
Umenikumbusha kitu.. nilienda ofis Fulani ya umma nikakuta Kuna wadada/ mashangazi wawili nikasalimia nikawaambia shida yangu wakanipa control number nilipie

Sikua na kashi kwa simu niende benki na wakala ni mbali aisee yule dada akalipa kwa simu nikampa cash

Akasema sisi Huwa sio wakarimu sana na sijawai msaidia mtu kama nilivyo kusaidia wewe akasema hajui kwa nini katoa msaada extra kwangu isivyo kawaida nikamwambia Mimi Huwa NASALI haaaahaa ☺️ akafurah tukabadilishana namba tukawa tutaonana kwenye status
 
Mkuu hilo la aura kuita nyota ni geni kabisa kwangu kwanza kwa Tanzania wengi hawafahamu kuhusu aura hata hao waganga, ukiangalia aliyoyaeleza mleta mada ni mchanganyiko wa mambo kadhaa hivyo si kitu kimoja.
 
Hapa kwenye first impression matter umenikumbusha mbali sana

Kuna dada mmoja nilikuwa nafika lodge yao kila nikienda kwenye mishe huko mkoani

Baada ya kuanza kubadilishana energy sijui ni hasi au positive,siku moja ananiambia "yani siku ya kwanza kukuona tu nilitokea kukuelewa sana" 🤣🤣
 
Hapo yeye alichukua positive, alichokupa yeye wewe ndo unajua😂 Roho siku zote waga inajua ila tunapuuza Kwa kuendekeza tamaa na mihemko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…