Mvuto wa Magufuli kwa Upinzani: Mbunge wa Ndanda (CHADEMA), Cecil Mwambe anadi Ilani ya CCM bungeni

Mvuto wa Magufuli kwa Upinzani: Mbunge wa Ndanda (CHADEMA), Cecil Mwambe anadi Ilani ya CCM bungeni

Kama ukitongoza mwanamke kwa kumdanganya akakupenda lakini wewe ukamtongoza mwanamke na kumwanikia ukweli wako akakushit, nani mwenye akili?
Kudai nimeiba Mtihani ndiyo nini? Inaonekana wewe uliishia form IV ndiyo maana unaongelea kuibia Mtihani, otherwise kama kuna mtu huwa anaibia mitihani kuanzia wa Darasa la VII, Form IV, Form VI na Chuo Kikuu, utamwitaje huyo kilaza? Huyo ujue ana akili sana, haiwezekani mtu kila mtihani aibie na kushinda huyo ni shujaa.

Bahati mbaya ni kuwa wewe ambaye ulikuwa unashinda mitihani bila kuibia haujawahi kupata namba 5 darasani, achilia mbali namba moja. So sorry mzee maana umeangukia wrong number.
You're dealing with something bigger than US Open - Bow wow.
Wewe jamaa sio mhaya kweli?
 
Tuache mawazi potofu Mbunge kutumia ilani ya chama tawala.Si dhambi ni wajibu.
Uko sahihi sana maana mtu ukitaka kujenga hoja na kumkosoa mtu vizuri lazima umuonyeshe nini kipo kwenye ilani yake na anachokifanya kinakinzana vipi. Hata wao sisiem wanafuatilia vizuri ya upande wa pili . Kwa mpango wa maendeleo uliokuwa ukijadiliwa rejea za ilani ni muhimu.
 
View attachment 933182

Mbunge wa Ndanda kwa tiketi ya CHADEMA, Cecil Mwambe akiwa bungeni ameshikilia Kitabu cha Ilani ya CCM. Hii ni dalili njema kuwa, aliyoyafanya Rais Magufuli hasa ununuzi wa korosho, ni kibali kikubwa sana cha wananchi wa Jimbo la Ndanda mkoani Mtwara kwa Magufuli.
In fact, that's is an endorsement to the Omuzilankende!!
Ni fire...🔥🔥🔥.
Mbunge huyo alishika ilani hiyo kwenda kumkamata wizi waziri na JPM kwa kutoa ahadi ya uongo!Nimesikiliza wakati wa kipindi cha maswali na majibu,Mwambe katika maswali yake ya nyongeza alitumia Ilani kama reference juu ya ahadi za JPM wakati anaomba kura jimboni kwake,akakumbusha aliahidi barabara ya kiwango cha lami!
Sasa walaghai mshaanza kutwist habari kwa manufaa yenu kisiasa!
 
Anadhani atapewa Unaibu Waziri, au ndio analazimisha anunuliwe baada ya kuona CCM hawajamfata jimboni kwake, kama wenzake.

Kachelewa,[emoji57] [emoji47]
Mbunge huyo alishika ilani hiyo kwenda kumkamata wizi waziri na JPM kwa kutoa ahadi ya uongo!Nimesikiliza wakati wa kipindi cha maswali na majibu,Mwambe katika maswali yake ya nyongeza alitumia Ilani kama reference juu ya ahadi za JPM wakati anaomba kura jimboni kwake,akakumbusha aliahidi barabara ya kiwango cha lami!
Sasa walaghai mshaanza kutwist habari kwa manufaa yenu kisiasa
 
View attachment 933182

Mbunge wa Ndanda kwa tiketi ya CHADEMA, Cecil Mwambe akiwa bungeni ameshikilia Kitabu cha Ilani ya CCM. Hii ni dalili njema kuwa, aliyoyafanya Rais Magufuli hasa ununuzi wa korosho, ni kibali kikubwa sana cha wananchi wa Jimbo la Ndanda mkoani Mtwara kwa Magufuli.
In fact, that's is an endorsement to the Omuzilankende!!
Ni fire...🔥🔥🔥.

What a shithole post from a shithole thinker!!!
 
Mbunge yeyote yule awe wa Chama Tawala au Upinzani anatakiwa kuwa na sifa mbili - kuisifu Serikali pale inapofanya vizuri; na kuikosoa pale inapofanya vibaya. Kitendo cha Mbunge kuonekana na Ilani ya Chama tofuati na chake sio kosa, huenda anataka kuitumia katika kuipongeza Serikali au kuikosoa. Ili kumuunga mkono Mhe. Rais, washaurini Wabunge wote bila kujali itikadi wafanye kazi za Kibunge badala ya kazi za Uenezi wa vyama vyao; wasiunge mkono kila kitu na wasipinge kila kitu - mazuri wayaunge mkono na mabaya wayapinge. Kama wakiunga mkono mazuri, hata siku wakipinga mabaya kila mtu atawaona wa maana.[/QUOTE]
Waambie pia wa upande mwingine wakisoe mabaya yote ili siku wakisifia mazuri,kila mtu atawaona wa maana!
 
Sikuwa naelewa kuwa kushika kabita ya simba sports club ukiwa ni mwana Yanga maana yake nikuwa unataka hamia simba. Unaweza ukasoma ili ujue je wanachotekeleza ndicho walicho ahidi??
 
Soon tutasikia Mwambe naye akijiunga na Safina ya Awamu ya Tano. Wahi mzee, naona tarehe zimeisha kwani mwisho wa Mpinzani Mbunge ama Diwani kujiunga CCM ni kesho.
Mwambe ameshajiunga bado kutangazwa tu....nipo na mwenezi hapa ananiambia atawatangaza kwa pamoja maana ni wengi!
 
Nimewaambia wote hata wewe ukiwemo, kazi yenu isiwe ni kupinga kila kinachofanywa na Serikali, jifunze kusifu mazuri na kupinga mabaya.
 
Nimewaambia wote hata wewe ukiwemo, kazi yenu isiwe ni kupinga kila kinachofanywa na Serikali, jifunze kusifu mazuri na kupinga mabaya.
Ni kupoteza muda kusifu,utasifiwa ukitoka madarakani kama ambavyo hadi leo nyerere anasifiwa!Kinachoshangaza awamu hii pekee ndiyo yamezuka haya mambo ya kulazimisha kusifiwa!
Kuna tofauti kati ya kusifia na kuunga mkono mambo yenye tija kwa nchi!Kuunga mkono ni pale ambapo watu hukubali jambo lililoamuliwa na serikali kwa vitendo!Kusifia na kumpamba mtu kwa kutimiza wajibu wake!
Nisema tu kuwa tunahitaji wakosoaji zaidi kiliko wasifiaji!
 
View attachment 933182

Mbunge wa Ndanda kwa tiketi ya CHADEMA, Cecil Mwambe akiwa bungeni ameshikilia Kitabu cha Ilani ya CCM. Hii ni dalili njema kuwa, aliyoyafanya Rais Magufuli hasa ununuzi wa korosho, ni kibali kikubwa sana cha wananchi wa Jimbo la Ndanda mkoani Mtwara kwa Magufuli.
In fact, that's is an endorsement to the Omuzilankende!!
Ni fire...🔥🔥🔥.
HEBU SOMENI MAJIBU YA CECIL MWAMBE HAPO KWENYE HIYO HABARI YA MWANANCHIMwananchi Comunications Ltd (@mwananchi_official) • Instagram photos and videos
  • mwananchi_official
    Mbuge wa Ndanda (Chadema), Cecil Mwambe akiwa na Ilani ya CCM wakati alipohudhuria kikao cha saba cha mkutano wa 13 wa more
  • Load more comments

  • Waandishi muda mwingine wanajiharibia CV. Huyu ni mpinzani, ilani inayoongoza nchi ni ya CCM hivyo lazima iwe kama more
  • mr_vichekeshoo
    Mnamkumbuka yule Subira aliyekuwa anavuta heri? Siku hizi anavuta bangi!
  • matto3903
    Sio kosa na ujui. Hili kujibu mishwada ya ccm inabidi uwe na ilani yao
  • noethe87
    Anataka kuwaonyesha kipengele cha katiba mpya. Ambacho kuna baadhi ya wabunge wanasema sio kipaumbele
  • geophyauma
    @afyamisungwi wanakatazwa pia kuangalia tbc, wanakosa taarifa za gvt kwa kisingizio cha chama then baadae wanalishwa more
  • msabaha.sheby
    Dhambi iko wapi?
  • mwakabolemmanuel
    Aliitumoa hiyo ilani kuwakumbusha ahadi zilizotolewa na chama chenye kutawala. So hiyo no reference material kwenye more
  • cecil_mwambe
    Ninasoma ninacheka, bahati mbaya bunge halionyeshwi moja kwa moja, jambo hili ni jema sana tena sana, ukisoma ukurasa wa 207 wa ilani unaongea habari ya katiba mpya ambayo jiwe linapinga, nilitolea taarifa majuzi, leo nilikuwa nina swali la nyongeza juu ya barabara ya Masasi, Nachingwea Rwangwa Nanganga, ambayo imetajwa kwenye ilani, so niliwauliza mbona wanashindwa kutekelwza hata ilani yao, sasa wakubali sera mbadala!!
  • frank_masanja
    Mimi naamini ukiwa mwanachama wa chadema unapelekwa kufundishwa ubishi unafiki uongo na ulaghai..ccm itatawala milele
  • trueseeker2016
    Mmmh!!!
  • prudencia_1992
    @cecil_mwambe Hawa sijuhi waandishi gani hawa. Ujinga mtu
  • king_timmz_1601
    Cecil?🙄
  • winarix
    @cecil_mwambe jamani mpk kaamua kujieleza mwenyewe! Mna dhambi jamani! Hongera kwa uwakilishi mzuri mh @cecil_mwambe
  • joe_andabwa
    Kwa hiyo mnataka kusemaje? Kupima uwezo wetu (wasomaji) kupambanua mambo? Huyo jamaa yupo makini, huwezi kuhoji more
  • johnslugho
    Hata mm ninaye naisoma kujua madudu yao
  • ombenilaizer5
    👏
  • cecil_mwambe
    @kennedyfikoti never bro, siasa yangu itaishia chadema
  • cecil_mwambe
    @frank_masanja hakuna milele duniani, kila nafsi itaonja mauti, Ccm pia itaonja mauti
  • cecil_mwambe
    @noethe87 page 207 ya ilani
  • cecil_mwambe
    @charlesruben255 nilishabadilisha uraia mzee, kwetu pazuri
  • cecil_mwambe
    @humphreygeorge45 aaahhh, unamaanisha, hamna kitu nchi imesimama, ukitaka kuamini litokee gazeti liamue kuandika ilani more
  • cecil_mwambe
    @abrahalinkon hapo ndipo tulipo, watu wetu waache kuwa waoga, maarifa zote ziko kwenye vitabu
  • cecil_mwambe
    @ramadhani.bushiri.735 aaahhh, kihotunaaaa somo
  • humphreygeorge45
    @cecil_mwambe Watanuna mkuu na kusema uchochezi
5 HOURS AGO
 
Musiba hivi mkeo anafahamu kuwa wewe dish limeyumba? Au na yeye lake limeyumba pia?
Maana yaweza kuwa familia yenu ni kama wodi ya Mirembe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
 
Kwa Cecil Mwambe ninayemfahamu mimi, then, utasubiri sana.
P
Kwani Mwambe si alikuwa CCM?..Baada ya kukatwa kwenye kura za maoni ndani ya CCM mwaka 2015 (nafasi yake alipewa MARIAM KASEMBE) Mwambe akacross CHADEMA...So sio ajabu akirudi nyumbani...Kwa Mwanasiasa lolote linawezekana, usimuwekee dhamana Mwanasiasa Nkwingwa...
 
Back
Top Bottom