Mwabukusi alienda kwenye Press na Kina Slaa akiwa Kalewa

Kuna madaktari wengine mpaka apige mzinga wa konyagi ndio afanye upasuaji

Kwahiyo muhimu ni madini aliyotema baada kung'wesa yana mashiko
 
Kumbe Chapombe kitambo siyo?
 
Sasa kulewa na kile alichokiwakilisha mausiano yake yako , vipi? So wote waliongea pale na waliyoyaongea husu bandari walikua wamelewa,

Rudisheni bandari acheni hoja uchwara
 
Kwa hiyo kama alikunywa ndio asijibiwe hoja zake?.
 
Walioenda kusaini mkataba walikuwa wamechanganyikiwa (source) mkataba wenyewe.
 
Wewe ni mlevi wa mataputapu.
 
Duniani wanaosema ukweli ni watu watatu tu.
Mlevi.
Mtoto.
Mwenye hasira.

Alichoongea ni kweli ama si kweli!!??
 
Ni mnywa pombe au mlevi. Kunuka pombe si kulewa ndugu
 
We jibu hoja ya mkataba acha kuingiza yasiyohusika, ebo
 
nawaasa watanzania kumpuuza huyu Wakili Mlevi Msomi Mwabukusi, na tujikite katika Hoja.
Hoja hiyo ndio Ipi haswa....manake naamini wewe ndio ulitaka kututoa kwenye hoja waliyoibuwa Paneli iliyokaa kutuelimisha na Press yao...

Sawa basi alikunywa....ukumbuke pia hawa Waarabu nao Walitutesa, Walituteka, Walituua , Walitubaka , Walitudhalilisha, Walitunyanyasa, Walitunyanyapaa na bado hizi hulka zao zinataarifiwa Duniani leo hii! Yani mateso mengi tu....dhidi ya Mwafrika, dhidi ya Mtanganyika

Hivyo basi, ni halali kwa Watanganyika kuwakataa hawa Waarabu kwa nguvu zote zile!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…