Mwabukusi alienda kwenye Press na Kina Slaa akiwa Kalewa

Wakili Mwabukusi anajulikana huko anapoishi Mbeya kuwa ni mtu wa Kulewa Sana Pombe kalibna mtu wa Kukesha Bar. Hivyo nawaasa watanzania kumpuuza huyu Wakili Mlevi Msomi Mwabukusi, na tujikite katika Hoja
So what? Tena ukilewa unakua real saaana
 
Hakuna uhusiano na kuuza bandari.alilewa Kwa pesa zake
 
Alileweshwa na Slaa. Cheza na Slaa?

Jamani kwani hatujuwi Slaa katokea kanisa lipi? Leo tunajifanya tumesahau mambo yao?
Waambie na wenzako mnywe pombe ili muwe na akili kama Watanganyika!!
 
Kama akilewa anatema nondo vile, tunaba aongeze kulewa azidi kuta nondo
 
Hao waswahili wanaojidai igi hawanywi pombe ndio maskini na mafukara wa kutupwa..hawajitambui..wakiishiwaga wanauza nguo na viatu vyao..ndio tabia hizi wanatuletea kila mahali
 
Hivyo ni dhahiri Wakili Mwabukusi alikuwa amekunywa pombe kabla ya press na hivyo naamini alikuwa haongei yeye Bali ni pombe.
aliyoyaongea na kuyahoji ni ya kilevi?
aliyoyaongea hayana tija kwa taifa?
 

Ni Bora huyu mlevi wa pombe tumsikilize kuliko kuhangaika nanyi mliolewa ujinga na uchawi.
 
Chatu wameanza kutema sumu.

Bora huyo wawe hata 100 bungeni kuliko bunge la Waitara na akili zao.
 
Sikiliza hoja zake,acha kufuatilia mambo binafsi ya mtu,Je hoja zake na za Slaa wa Ukonga unaziona nani aliyetumia ubongo wake vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…